Tunaosubiria application za NACTE, tukutane hapa

sio rushwa hio ni kawaida kwa kila mtendaji mbona ndo hapo tunapopatiaga ela ya kiwi na vocha

Nadhani ni moja kati ya majukumu yako lakini unageuza kuwa biashara, ni sawa na mwalimu amdai mtoto hela ya kusahihisha zoezi, jaribio au mtihani wakati ni moja ya majukumu yake. Nashangaa ni kwanini wanasema mahakama ya mafisadi inakosa kesi wakati watu wa namna hii bado mpo, hebu kesho saa tatu asubuhi fika katika ofisi ya TAKUKURU iliyo karibu nawe au hata kituo cha polisi, utasaidia sana katika kuunyoosha na kurejesha heshima na maadili ya utumishi wa umma.

Nakutakia utekelezaji mwema.
 
huyo police mwenyewe akija na form ya mkopo nigonge muhuri lazima aniachie ya soda kama yy ninavyomwachiaga ya soda akinisimamisha
 
njoo Chuo cha serekali za mitaa hombolo ww usomee utendaji ukimaliza cheti tu ajira ipo mlangoni na mshahara laki 4 na 10 huku ukiwa unakula elfu 2 za kugonga mhuri
mkuu umetisha sanaa elfu 2 za mhuri ukiwa bahili mshahara wako hautumiii
 
Wakuu mie nina Division 3 ya 24, English C, Biology C, kiswahili C, math C, geography D, history D, civics D

Je naweza omba moja kwa moja diploma ya marketing bila kupitia certificate?
ndio unaweza
 
Back
Top Bottom