sio rushwa hio ni kawaida kwa kila mtendaji mbona ndo hapo tunapopatiaga ela ya kiwi na vocha
huyo police mwenyewe akija na form ya mkopo nigonge muhuri lazima aniachie ya soda kama yy ninavyomwachiaga ya soda akinisimamishaNadhani ni moja kati ya majukumu yako lakini unageuza kuwa biashara, ni sawa na mwalimu amdai mtoto hela ya kusahihisha zoezi, jaribio au mtihani wakati ni moja ya majukumu yake. Nashangaa ni kwanini wanasema mahakama ya mafisadi inakosa kesi wakati watu wa namna hii bado mpo, hebu kesho saa tatu asubuhi fika katika ofisi ya TAKUKURU iliyo karibu nawe au hata kituo cha polisi, utasaidia sana katika kuunyoosha na kurejesha heshima na maadili ya utumishi wa umma.
Nakutakia utekelezaji mwema.
ndio au unayaka usome record wakati sikuhizi mabos wanstumia softcopy mafaile hayapo tens maofficeneDuh!!
Utendaji tena
hehehe ndo umetoka secondary eeeh? haya mkuu ila hata sisi wengine tulizaliwa Madaktari lakin leo hii Ni Wahasibu ..lakini hatujuti tena tunashukuru MunguDaaaaah tatizo sikuzaliwa kuwa mtendaji...... Sorry for that
mkuu umetisha sanaa elfu 2 za mhuri ukiwa bahili mshahara wako hautumiiinjoo Chuo cha serekali za mitaa hombolo ww usomee utendaji ukimaliza cheti tu ajira ipo mlangoni na mshahara laki 4 na 10 huku ukiwa unakula elfu 2 za kugonga mhuri
huyo police mwenyewe akija na form ya mkopo nigonge muhuri lazima aniachie ya soda kama yy ninavyomwachiaga ya soda akinisimamisha
hahahahahaaaaaa unataka ushahidi njoo kabisa nikuambie liveUnadhani hiyo intosha kuhalalisha rushwa ?
Asante kwa kuzidi kuweka ushahidi bayana.
Bulogwa dental ni nini mkuu?Wale wa Bulongwaa dental
Ada ipojenjoo Chuo cha serekali za mitaa hombolo ww usomee utendaji ukimaliza cheti tu ajira ipo mlangoni na mshahara laki 4 na 10 huku ukiwa unakula elfu 2 za kugonga mhuri
Hombolo ipo mkoa gani?njoo Chuo cha serekali za mitaa hombolo ww usomee utendaji ukimaliza cheti tu ajira ipo mlangoni na mshahara laki 4 na 10 huku ukiwa unakula elfu 2 za kugonga mhuri
dodomaHombolo ipo mkoa gani?
milioni 1 na elfu 50Ada ipoje
[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahaaaaaa unataka ushahidi njoo kabisa nikuambie live
ni mikono juu mwendo wa mateka[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
ndio unawezaWakuu mie nina Division 3 ya 24, English C, Biology C, kiswahili C, math C, geography D, history D, civics D
Je naweza omba moja kwa moja diploma ya marketing bila kupitia certificate?