Tunaosubiria 4th lot

Jovin kalesi

Member
Nov 10, 2015
15
0
Mim ni mmoja kati ya waliokosa lots zote 3, nimechaguliwa UDOM- BEDA je watatoa 4th lot? Na kama watatoa itachukua muda gani? Help please..
 
Mim ni mmoja kati ya waliokosa lots zote 3, nimechaguliwa UDOM- BEDA je watatoa 4th lot? Na kama watatoa itachukua muda gani? Help please..

Hawajasema watatoa lini lkn uhakika ni kwamba watatoa Jana mimi mwenyewe nilikua loan board mwenge..... Tuwe na matumaini kwamba Muda sio mwingi watatoa kwa mahesabu yangu tumebaki kama elf 3 Iv sababu juzi walitoa 6912 kati ya wale 10000 walio baki
 
Back
Top Bottom