Gari ikiwa written off haitolewi Kwenye mfumo wa TRA ,na hakuna trafik anayekagua chassis number,kwahiyo ikipatakana gari ya kufanana wapo wanaojilipuaHakuna gari ulishawah I pewa namba ya gari nyingine iliyopata ajali au kua written off. Huo ni uongo. Sema unaweza ona v8 au mi cruiser ina namba za Zaman wale ni vitengo maalumu ila haiwezekani hata siku 1 mtu kupewa namba ya gari ya zamani. Kama una ushahidi weka. Ingekua tusingekua tumefika Dzx leo. Zingeanza kujazwa namba zote za pikipiki ambazo zilihamishiwa Plate namba hizo mpya za pikipiki. Had leo nadhani tu ngekua dj au bado hatujaifikia
kujua kwingi nako ni tatizo nikushauri tu nemda TRA kapate elimu kwanza kabla ya kuwa mbishi.Hakuna gari ulishawah I pewa namba ya gari nyingine iliyopata ajali au kua written off. Huo ni uongo. Sema unaweza ona v8 au mi cruiser ina namba za Zaman wale ni vitengo maalumu ila haiwezekani hata siku 1 mtu kupewa namba ya gari ya zamani. Kama una ushahidi weka. Ingekua tusingekua tumefika Dzx leo. Zingeanza kujazwa namba zote za pikipiki ambazo zilihamishiwa Plate namba hizo mpya za pikipiki. Had leo nadhani tu ngekua dj au bado hatujaifikia
Aisee, hicho ndo nilikuwa nasemea.Mkuu sasa hivi namba hizi 111/222/333/444/555/666/777/888/999/123/456/789 zimeingizwa kwamba ni special namba kwaio hizo kuzipata ni 500,000 yani system inaisoma kama 500,000 hio hatari sana....
Na wengi hufanya hivyo, wanaenda kwa watu wa bima na kuchukua written off, wanachukua kadi, wanaenda tega gari za IT wanafaidikaGari ikiwa written off haitolewi Kwenye mfumo wa TRA ,na hakuna trafik anayekagua chassis number,kwahiyo ikipatakana gari ya kufanana wapo wanaojilipua
Tukosoane kwa staha tulio humu wote watu wazima.Wewe mshamba kabisa! E ni herufi wala siyo namba! Nenda shule tena hata kama ni ya ngumbaro!
September mwishoniNamba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
View attachment 1888026
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Bye bye D
Mpaka september4Naona X ishafika 45O+ ndio kwanza tarehe 5 leo. Jumatatu tunafungua na Y tunafunga na Z ijumaa ijayo.
Kifupi tu kati ya tarehe 17-3O namba E itakuwa mtaani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatufiki septMpaka september4
Watu wako speed mno bado gari 898 ili Y iingie maana kila Herufi ina gari 899
Tarehe 15 na 20 mwezi huu meli inamwaga vyuma vya kutosha...E inakua ndani ya nyumba hapo...πππWatu wako speed mno bado gari 898 ili Y iingie maana kila Herufi ina gari 899
Ooh ok500,000 ndo hutumika kufanya reserve au special number