Gari nyingi tu za jeshi letu Jwtz ndio wenye huo mfumoUshauri wangu kwa mamlaka husika kama wamo humo ndani ya jukwaa
Wabadilishi mfumo wa PLAT NUMBER za magari ili ziwe zinaendana na mwaka wa gari lilipo tengenezwa (year of manufacture) hii itasaidia sn katika mambo mengi.
Mfano
Kama gari imetengenezwa 2003 au 2009
Waje na Code itakayo anza na mwaka kwa mfano gari zote zilizo tengenezwa kuanzia 2000 hadi 2009 wajena na CODE 2 au 5 inayo utambulisha mwaka husika Kwahiyo gari ya mwaka 2002 au 2009
Mwaka Plate Number
2001 TZ 21 DXX OR T 51 DXX
2002 TZ 22 TCH OR T 52 TCH
2009 TZ 29 CVF OR T 59 CVF
HAYA MAWAZO YANGU TU .
DZN hiyo
.....View attachment 2270408
Mwez wa 8 yunaingia E
Gari yenye km 100,000+ unatakiwa ukiinunua unabadili timing belt, tensioner, bearing na waterpump kitu kinakua kama kipya...View attachment 2278177Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.
Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.
Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
Sasa kwanini upande daladala wakati unaweza tembelea chasis namba?Hasira gani sasa? Nipande daladala na nna hela ya kununua gari eti kisa nasubiria namba E
Hivi Mkuu, inarubusiwa kwa muda gani?Sasa kwanini upande daladala wakati unaweza tembelea chasis namba?
Mkuu kitu cha muhimu ni uwe na bima kuna jamaa yangu yeye anayo tangu mwezi wa tano ni chassis tuHivi Mkuu, inarubusiwa kwa muda gani?
Hivi namba namba ya mwanzo ya erufi E ni T 001 EAA au T 101 EAA?Bado magari 7,000 na ushee ndiyo tuingie T 001 EAA
T111AAA mpaka T999ZZZ itachukua miaka 150Kama DW ipo kwenye V, bado DWW , DWX, DWY, DWZ then
DXA mpaka DXZ,
DYA mpaka DYZ,
DZA mpaka DZZ.. Ndio ianza EAA..
Kila serie moja ina T100### mpaka T999### yaani jumla ya vehicles ( magari na matela) jumla vyombo sajiliwa kwa kila serie 900 , kiufupi ukichukua kuanzia
DWW mpaka DWZ ni gari 900x 4 = 3,600
DXA mpaka DXZ ni gari 900 x 24 = 21,600
DYA mpaka DYZ ni gari 900 x 24 = 21,600
DZA mpaka DZZ nazo ni hivyo hivyo 21,600 jumla mpaka kufikia mwisho wa initial D ni jumla ya vyombo vya moto 68,400 Kwa hiyo kwa hisia na makisio yangu binafsi ( mtizamo wangu toka kamati ya machale na utabiri usio wa kitaalam) usajili EAA labda katikati kuelekea mwishoni mwa mwaka 2023 . Tuombe uzima huu uzi uendelee kuwepo. (Edited )
T101EAAHivi namba namba ya mwanzo ya erufi E ni T 001 EAA au T 101 EAA?
Namba zinakimbia Tayari tupo DZS hukoT101EAA
Unamaanisha nini mkuu?Naona Kuna Kila dalili za namba E kutupita wengi wetu kwenye huu uzi
Kwa ninaowafahamu khali zao ni taabaniUnamaanisha nini mkuu?
GRS204 au inapendeza sana hiyo.. Hongera mkuu chuma sana ileNaona mambo yanakwenda salama kabisa mnyama wangu mpya bila shaka nitasubiria hadi isomeke EAE GRS200...wooza...πππ
Mimi ni GRS200...πππGRS204 au inapendeza sana hiyo.. Hongera mkuu chuma sana ile
Ila inabidi uilinde Sana ikiibiwa ndo imeishaMkuu kitu cha muhimu ni uwe na bima kuna jamaa yangu yeye anayo tangu mwezi wa tano ni chassis tu
Ila inabidi uilinde Sana ikiibiwa ndo imeisha