Show rooms sasa hivi zimefurika balaa, Mlimani, Magomeni, Kinondoni, Manzese gari zimefurika hadi wanapaki barabarani sasahivi.View attachment 2238643
Hivi Unafikiri mtu mzima mwenye akili timamu kama mimi sijui kitu kidogo kama hicho?
Huyo mwenzio alituambia meli ya April iliyoshusha gari 3000 zikiisha tunakwamia kwenye DZF.
Kwamba DZF ingekaa mwezi mzima mpaka June huko.[emoji16].
Logic ya kuonesha quee ya meli za magari Dar port ilikuwa kuwaambia hatukwami hata zingeshusha gari 500 kila meli.
Kuna showrooms zina magari ya toka import ya January,kuna magari yanavuka toka Zanzibar daily.
Haihitaji nguvu kubwa kuutetea uhalisia.
NB:Hata hizo 500 zinazoshushwa Tz siyo zote zinasajili mwezi huohuo.
Aisee 5G speed View attachment 2242346
K,L,M,N,P,Q,R,S,T,U,V,W,X,Y,ZE August hapoo
Oya mbona ghafla hivi magari bure nini?Aisee 5G speed View attachment 2242346
Ikifika usisajili kwanza, tembelea chasis no hafi no E iingieUvumilivu umenishinda .Mnaosubili namba E subilini.Ki Raum changu kinafika tar 21 juneView attachment 2230587
Kiongozi mambo vipi? Naombaa niwasiliane nawewe kunakitu kuhusu uagizaji wa gari unisaidieNimeshaagiza
Unaweza kuta simu yake imejaa namba za Fundi gari, we mpongeze tuHiyo no.A ni gari gani ? Hongera kwa utunzaji mzuri.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Kwa hela ipi Mzee, Ist inasoma 15m+ sio mchezo, Viwanja vitaanza kupanda bei muda si mrefu.August E hapo mazee
Toyota fielda, Uzi wangu upo homeHiyo no.A ni gari gani ? Hongera kwa utunzaji mzuri.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Ikifika usisajiri kwanza, tembelea chasis no hafi no E iingie
Kwa hela ipi Mzee, Ist inasoma 15m+ sio mchezo, Viwanja vitaanza kupanda bei mda si mrefu
Sio poa yani, week ijayo J itakuwa ishakata tuko DZKAisee 5G speed View attachment 2242346
Nimegundua nilikuwa napoteza calories tu pengine na watoto wa shule.View attachment 2238633
😁😁😁!
Jumatano ijayo tuko T800 DZJ latest.
Ni mwendo wa siku nne (4) tu kila herufi kwa sasa.😁.
I told you.
Ingawa niliandika hivi, ila sasa naamini mwezi wa nane mwishoni tutakuwa "E"sababu nimeona angalau wiki tatu Alphabet saba zimeyoyoma.K,L,M,N,P,Q,R,S,T,U,V,W,X,Y,Z
Bora iwe hivi, namba EAA taam banaIngawa nili andika hivi,ila sasa naamini,mwezi wa nane mwishoni,tutakuwa "E"sababu nimeona angalau wiki tatu Alphabet saba zimeyoyoma
Sawa ila gari mpya showroom haipungui million 18.5 sasa hivi.Bora iwe hivi, namba EAA taam bana