General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Namba D ziliingia 2014 nadhani na sio 2012Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV...
Tunaosubiri namba E tupo kadhaa, ila uzalendo unaelekea kutushinda.
Katika hizo gari, taarifa inasema ni gari kama 700+ hivi ndio zitabaki bongoland.
MnoVumilia vumilia kaka, namba D zinaboa...
Madalali wamehiaribu hiyo namba [emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka maana DE ni namba ya 2015
Hahahahah wakati huo wa namba E bora ufike ili zile IST za number D tuuziwe million 5/5 chap chap maana ni nyingi sana 😅!Vumilia vumilia kaka, namba D zinaboa...
Madalali wamehiaribu hiyo namba [emoji23][emoji23][emoji23]
Zimekaa mda mrefu sababu ni waliondoa plan ya pikipiki kuchanganyika na magari! Ndio maana zile B na C hazikudumu muda mrefu. Kwa kumbukumbu C zilianza 2010 bila shaka mpaka kufikia 2014 zikakata zikaanza D!Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
View attachment 1888026
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Hongera mkuuSure! 2014 nilivuta ka-mkoko DBV, D zilikuwa zimeanza anza. daah! R.I.P DBV now I have DVB.. What a coincidence.
Zimekaa mda mrefu sababu ni waliondoa plan ya pikipiki kuchanganyika na magari! Ndio maana zile B na C hazikudumu mda mrefu. Kwa kumbukumbu C zilianza 2010 bila shaka mpaka kufikia 2014 zikakata zikaanza D!
A zilimezwa na conversion ya magari kutoka TZS 99999 format kwenda T111AAA!
B zilimezwa na usajili wa pikipiki humo humo nazo hazikudumu sana!
C ndio zilikaa almost 4 years zikaisha sababu ya hela ya Jakaya ilikuwepo bado kwenye account na mizunguko ya Watu!
D zilipoanza na mzee Jiwe akawa ameingia mitamboni kuanza kutingisha hali zetu[emoji28] na ndio nahisi atakuwa amekufa nazo mwaka huu maana January lazma tuanze na E!
Zikiisha zikaanza E nafikiri nazo zitaenda fasta sababu mianya ya upigaji inaenda achiwa 😅D zinakera sana mkuu...
nafikiri kila mwaka tuhamie namba mpyaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kumbukumbu zako haziko sawa.Zimekaa mda mrefu sababu ni waliondoa plan ya pikipiki kuchanganyika na magari! Ndio maana zile B na C hazikudumu mda mrefu. Kwa kumbukumbu C zilianza 2010 bila shaka mpaka kufikia 2014 zikakata zikaanza D!
A zilimezwa na conversion ya magari kutoka TZS 99999 format kwenda T111AAA!
B zilimezwa na usajili wa pikipiki humo humo nazo hazikudumu sana!
C ndio zilikaa almost 4 years zikaisha sababu ya hela ya Jakaya ilikuwepo bado kwenye account na mizunguko ya Watu!
D zilipoanza na mzee Jiwe akawa ameingia mitamboni kuanza kutingisha hali zetu😅 na ndio nahisi atakuwa amekufa nazo mwaka huu maana January lazma tuanze na E!
Basi umenielewesha vizurMkuu kumbukumbu zako haziko sawa.
Number C zilianza march 2012, zikaenda had sept 2014. C ndiyo iliyokaa muda mfupi zaidi, na ndiyo iliyomezwa na bodaboda
B ilianza 2009 had 2012 march.