Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,867
Jamani naomba kuuliza kama kuna mwenye tetesi zozote kwamba ni lini ajira za maafisa ugani wa kilimo na mifugo zitatoka kwani mpaka sasa hatujui hatma yetu na wengine washaanza kujuta kwa nini walipoteza muda kusomea fani hii.maana serikali imeahidi itaajiri maafisa ugani pindi watakapo maliza masomo lakini sasa ni mwaka wa tatu toka tuhitimu masomo tuko mitaani.