Tunaopenda kuwaingiza wake zetu mitegoni tujifunze kwa mfano huu...

nimecheka saana
maana kahadithi kenyewe kanakosewa hivi hivi
mume anaona mke kaingia ndani dk 10 nado havamii
halafu minjemba eti inasubiri mlango ufungukiwe na jamaa anatoka salama kwanini msimkague na advance umetoa ya nini?
basi huyo Mama kwa raha zake hajaanza leo kwanini asibane hata mapaja akijua mtego tayari
KWANINI ASITOKE HATA NJE KUVUNGA VOCHA, AU CHOONI AU KUCHUKUA PED AJIKAYSHE? lol
 
Hahahahhhh
 
Back
Top Bottom