Tunaopenda kuwaingiza wake zetu mitegoni tujifunze kwa mfano huu...

Hadithi kwa sababu huwezi kwenda eneo ulilotegwa halafu utegemee kujinusuru kwa kuzima simu ya mke wa mtu, je kama wakati unaingia chumbani na mke wake kuna watu wengine amewaweka standby, kwa maana kundi la kwanza likichelewa la pili linafika au yeye mwenyewe kajibanza sehemu?
Sio hadithi ni kweli na jamaa ni Boss angu
 
Ulikuwa na maana gani akuite kukutaka ushauri halafu akupe wazo lake nawe usimpinge ukubali kirahisi halafu uje uandike huku? Wewe ndio umevujisha siri hakuna cha bosi kuishi vizuri na masela wala nini.
Boss mi simkubali kabisa ndio maana nikiafiki wazo LA yeye kuliwa...
 
Still bado jamaa anaweza lipiza kisasi
huyo jamaa ni bwege sana kupewa siri na kuamua kujifanya mjanja zaidi..
Mkuu The boss,heshima kwako,mimi nafikiri huyo mke wa jamaa ana uhusiano na huyo bosi wake,na inawezekana yale mashitaka aliompalekea mmewe ilikuwa ni zuga(ALIBI) tu ili mmewe akisikia itakuwa rahisi mke kujitetea na kusema ni uvumi tu kwa sababu yeye alisharipoti kwa mmewe,na hata siku ya mtego ni huyo huyo mwanamke ndio alimshituwa bosi wake na wakapanga hicho cha kuzima simu na kubanjuwana kiulaini.
 
Yote inawezekana
but huyo Boss alikosea kuendelea ku sex na huyo mwanamke sababu eti kazima simu
mtu mwingine angeweza kuja hivyo hivyo na watu wengine
au kumvizia tu hata akiwa alone

hivyo vitu ni kuviepuka moja kwa moja
 
Tena bosi eti anaenda kusex katika hoteli hiyo hiyo ya mtego na alishaambiwa,ina maana anajiamini kiasi gani?,yaani kuzima simu ya mwanamke tu ndio usalama?,je jamaa angejibanza na shoka sehemu ingekuwaje?,anyway nafikiri hii ni chai ya Magufuli isio na sukari marabuku.
 
Back
Top Bottom