Tunaonewa sana

Nashangaa Kuna watu Wana mjibu Kwa mazoea hii hoja nzito na Ina fikirisha haswaa .. natamani huu mjadala uchangamke watu wajibu Kwa hoja nzito nzito tupate Cha kujifunza
Tatizo Kuna Watu tayari akili zao ziko fixed na maandiko, wamemeza kile kile TU Cha kwenye biblia.

Yaan wako Kama mang'ombe anayosema mtoa mada, binadamu tumepewa maarifa tuyatumie na sio kua Kama mang'ombe
 
Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.

Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga...
Haki ya nani bangi nyinyi dah!
Nimecheka sana.
 
Kuna ulazima wa kufikiria nje ya box, jamaa thread yake ipo katika kujenga hoja fikirishi na utakapo fikiria katika mlengo chanya kuna kikubwa utakachokipata na kitakufunulia mengi sana.
Kweli
 
Kaa ukijua Binadamu hafi, mwili ndio unakufa, yaani wewe upo tu lakini kwa sababu mwili unachoka ndio una-cease kufanya kazi basi tunazika laiti kama tungekuwa na spea za kubadilisha basi mwili na binadamu kwa ujumla angeweza kuishi moja kwa moja.

Mfano angalia magari, gari linaweza kudumu muda mrefu endapo spea zake zikiwa zinapatikana, kiwanda kiki-cease kutengeneza spea na gari utauza kama scraper, Kwa ujumla tu mauti yapo kwenye mwili tu yaani hautaonekana physically lakn bado utaendelea kuishi bila kuonekana, maana ukitoa mwili hakuna kitakacho kufa so, Binadamu hafi ila mwili tu ndio unachoka, kama nyumba inavyochoka na kuanguka.
 
Tatizo Kuna Watu tayari akili zao ziko fixed na maandiko, wamemeza kile kile TU Cha kwenye biblia.

Yaan wako Kama mang'ombe anayosema mtoa mada, binadamu tumepewa maarifa tuyatumie na sio kua Kama mang'ombe
Kuna watu wame mezeshwa ma fiction story na hawataki kuamini kuwa hizo ni fiction kazi sana
 
Watanzania tumepiga hatua kwenye fikra tuduizi!
 
Kwani asipo abudiwa anapungukiwa nini
 
Lkn kiongozi km kweli sisi ni mifugo ya Mungu mbona sijawahi kuona Mungu akimchinja binadamu Ili amfanye kitoweo? Km ilivyo kwa kuku, ng'ombe n.k? Au unamaanisha Mungu huwa anakula mizoga? Piga magoti uombe msamaha kwa Mungu. Mungu amekupa ufahamu kuliko wanyama wote pia amekuumba kwa mfano wake. Binadamu amepewa mamlaka ya kuvitawala viumbe vote.
 
Kwa nilivyo muelewa jamaa kwamba roho yako ndo msosi mkuu.
 
Ukifanya mazur utakua una muengezea power sir god Na ukifanya mabaya unamuengezea power shetani sasa utachagua uliwe Na yupi??
 
mkuu umemalza kila kitu
 
Kondoo wa bwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…