Tunaonewa sana

Kwa Hadi Putin ni Mfugo? Ila mifugo sisi Tunatofautiana Akili,Angalia wewe Ulivyo Mkorofi...
 
....mifugo ya Mungu au shetani...
Kwa nadharia hiyo kuku,mbuzi n.k ni mifugo ya binadamu au mwewe au fisi.
Kwa nini ukipe umiliki kitu ambacho hakiangaiki na mfugo husika?
Nasubiri jibu toka kwako wewe mfugo wa shetani.
 
I bet Allah na Mungu ni tofauti,ko inabid ujue unamwabudu nani kati ya Allah na Mungu na yupi atakupeleka nchi ya ahadi
 
Tafadhali msaada:-kwa nini asilimia kubwa kama sio wote wanaopinga uwepo wa MUNGU ni wakristo
...sijatoka nje ya mada wazo hili ni baada ya kusoma hii nyuzi
 
Haha sijui umewaza nini kwa hilo nalitafakari pia lingine kuwa je the biggest Scam in the world ni Ajira?
Yaani unafanya kazi miaka 40 halafu bado masikini tu

Kuna uhusiano wowote na KULIWA?
 
Kitoweo !!!! Yaaani shetani au mungu anatukula sisi????
 
nacheka lakini naogopa
 
Kwahiyo mwanangu umeona tujilinganishe akili na kuku au ng'ombe dah!🙌 sasa tungekuwa na akili sawa tungekula nyama kweli? Tofauti ni kwamba hadi umeweza kulijua hilo basi ni dhahiri kuwa una uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo kwa akili kimwili ila kuna mambo yapo kiroho zaidi ili uweze kuyapatia majibu unapaswa kumjua mungu kwanza ndipo ujue lengo lake.
 
Ninachoona,
Mungu ndo mfugaji mwenyewe mkuu na mwenye Mali, THE BIG BOSS.

Alimuweka shetan kama mmoja wapo wa wachungaji amsaidie kuchunga mifungo yake.

Nnahisi Kuna namna walizurumiana kwenye ubia wao, na shetan akaondoka na Siri kadhaa khs mifugo wa boss wake.

Ili kumkomoa ex-boss wake,
Ndo Pale edeni shetani Alikua kwenye harakati za kumsnitch na kumkomoa boss kwa kutupa uelewa (kutulelekeza tule tunda na mengineyo) ili kugain trust yetu tuondoke mle bandani,

Ila sio kwamba lengo Ni tuondoke mle bandani tukajitegemee, Bali tuhamie kwake maana na keshaanzisha zizi jipya halina wadau (kambi ya shetani).

Sasa bahat mbaya akachelewa na mfugaji akaingilia Kati na akarudishia komeo la Banda.

Ndo tukaishia kujigundua tuko uchi,kabla ya hapo tulikua hatujioni uchi Kama ilivyo kuku na ng'ombe.

Laiti Kama shetani angeendelea kumchombeza Eva, Kisha Adam.

Hakika tungeweza kuchomoka kabisa bandani maana Kuna mstari nakumbuka shetani alisema tungemsikiliza tusingekufa "tusingechinjwa"

Na kwa hasira
Mfugaji mkuu akahisi Kuna baadhi ya Siri tushazigundua, akaamua kutufukuza kwenye zizi zuri na lililokua karibu nae akatutupa duniani mbali naye ili tusije tukaendelea kuyajua mengi zaidi.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…