oo ohh rightaaa, barabara kabishaaa...Aisee huyu jamaa ni noma kwenye kutafsiri muvi kutokana na mbwembwe zake na kiswahili chake cha kikenya.
Hakika hata kama muvi ni mbaya ila akiishika huyu jamaa lazima utafurahi tu.
Maneno anayopendelea;
Kugusa wororo-kusex
Bebenyaku-Nyegezi
Kimoda-mtu hatari
Kutoka unyoya-kukimbia
Kaparo-mpishi
Makagali-nyeti
Ongezea mengine.....
.Nakazia hapaYani mimi movie ikishatafsiriwa inanikata stim siwezi itazama tena
Aisee huyu jamaa ni noma kwenye kutafsiri muvi kutokana na mbwembwe zake na kiswahili chake cha kikenya.
Hakika hata kama muvi ni mbaya ila akiishika huyu jamaa lazima utafurahi tu.
Maneno anayopendelea;
Kugusa wororo-kusex
Bebenyaku-Nyegezi
Kimoda-mtu hatari
Kutoka unyoya-kukimbia
Kaparo-mpishi
Makagali-nyeti
Ongezea mengine.....
tatizo move zake YouTube hazifikagi mwishoArrrrrrrrraita ndugu, mpenzi, brother mtazamaji. Maridadi, pozi tena pozi kabisa, ikiwa hapa ni ruti za mwanzo mwanzo wa sinema nanii, Endapo. Hebu tuchomoke ala hizi nikupeleke mpaka kule upande wa BanKok Thailand na nyakati zikiwa ni za usiku usiku nanii. Title la all sinema likiwa ni WU DANG yani maana yake nii DANGAMANYA.
Siku nenda, siku Rudi. Ikawa mchana ikawa asubuhi.. .... .. ..! Unasemanga waya ya umeme unakosea, hii sasa ni transfoma ya umeme.. ..! Huyu ni master juu ya mamaster mbele ya mamaster sasaa.
Cheki YouTube movie za KING OF BEGGERS, WU DANG, KONGFU BOYS, FALCON RISING, THE BODYGUARD(sio ile ya JetLi), usikie makeke ya AFRO.