King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,001
- 677
Hahahahhahaaaaa
Ni
Kugudha ololo -
Gedhinyaku
Ni
Kugudha ololo -
Gedhinyaku
mdedilii- mtu hatari sana/killer
Dah!
lalalalaaaaaa jackie chana upande wa mkono anakuwaga ni waya naniiiii chunga manenolalalalaaaaaa Jackie chana upande wa mkono anakuwaga ni waya, anakuwa ni umeme, anakuwaga mdeadly mazeee
dah yaani ukiangalia muvi za huyu jamaa halafu ukaangalia walizotafsiri wabongo unaona ZERO tu.Jamaa huwa anajua kutumia lugha ya kuvutia watazamaji.Zamani nilikuwa sipendi muvi wanazo tafsiri "Wabongo" kwa sababu lugha ya kiingereza hawaiwezi.Uongo mwingi lakni "Kaparo Afro" amenivutia.Hapo shashaaaaa!
Wabongo chenga sana.Mimi nimemaliza hela kusoma tuisheni ya kizungu halafu wanidanganye?Aaaaaa wapi!Waendezao huko porini wakawadanganye vimbwenerehi wenzao.😂😂😂😂😂😂dah yaani ukiangalia muvi za huyu jamaa halafu ukaangalia walizotafsiri wabongo unaona ZERO tu.
Yani mimi movie ikishatafsiriwa inanikata stim siwezi itazama tena