Tunaomiliki Magari ya Mzungu Tukutane Hapa...

F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Messages
1,400
Points
2,000
F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2017
1,400 2,000
Katika harakati za kutaka kubadilisha mchuma Subaru Forester ya 2013 ine niteka akili sana. leo wakati napitia review yake nikapata point kuwa Mazda CX5 ni bora kuliko Subaru likija suala la mafuta na perfomance; PRONDO vipi spea za mazda cx5 zinapatakina hapa kwetu kwa urahisi

2013_mazda_cx-5_054hi-1-1024x683-jpg.1203131
2013_subaru_forester_used_10442590_1-jpg.1203132
 
R

Rwazi1

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
494
Points
500
R

Rwazi1

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
494 500
Gari za Toyota sizipendi ila kusema ukweli, Toyota ndio magari pekee yanayofaa kwenye hili bara la Afrika hasa ukija kwenye utengenezekaji wa gari lenyewe.
Sema Tanzania. Ndo tumekariri toyota. Kama kenya na nissan. Hakuna anayejua utamu wa magari aka opt japanese cars. Binafs pesa yangu mwenyewe haitakaa inunue gari lisilo la ulaya. Suala la bei ya spea uwaze na uimara. Suala la ukosef wa mafund uwaze ni sis wenyew kutoleta magar hayo. Mafund hufata soko. Nimeshatumia benz e class, lexus gs. Nitahamia benz ML. Alaf bei zao ndogo tatzo ushuru ni mkubwa mno kuliko japanese cars.
 

Forum statistics

Threads 1,336,578
Members 512,670
Posts 32,544,087
Top