Tunaomiliki Magari ya Mzungu Tukutane Hapa...

M

Mjep

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
986
Points
1,000
M

Mjep

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2014
986 1,000
epson

epson

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Messages
537
Points
250
epson

epson

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2012
537 250
Volkswagen Touareg nazikubali sana, changamoto za kumiliki gari hii ni zipi? ya 3100cc consumption yake ya mafuta ikoje?
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
36,931
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
36,931 2,000
Volkswagen Touareg nazikubali sana, changamoto za kumiliki gari hii ni zipi? ya 3100cc consumption yake ya mafuta ikoje?
Usiwe na hela ya mawazo tu. 3200cc usitegemee itumie mafuta kama Passo. Kifupi kumiliki hii gari usiwe na hela ya mawazo.
 
epson

epson

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Messages
537
Points
250
epson

epson

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2012
537 250
Sawa mkuu! kuna ugonjwa wowote ambao ni common kwa gari hizi?
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
36,931
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
36,931 2,000
Sawa mkuu! kuna ugonjwa wowote ambao ni common kwa gari hizi?
Propeller shaft na air mass sensor na ni sababu ya umri. Wengi wananunua yaliyozidi miaka 10.
 
xtaper

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
3,358
Points
2,000
xtaper

xtaper

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
3,358 2,000
K

Keyala

Member
Joined
Sep 11, 2014
Messages
58
Points
95
K

Keyala

Member
Joined Sep 11, 2014
58 95
Wale wamiliki na wanapoenda kumiliki magari ya Mzungu tukutane hapa Kwa ushauri na kubadilishana mawazo. Najua ni changamoto Sana kumiliki haya magari hapa Tz kuanzia mafundi,spare na uchumi vile vile. Nina uzoefu mkubwa sana kwenye haya magari. Niulize chochote kuhusu magari haya nitakujibu kwa uzoefu wangu. Karibuni tujadiliane. Jitahidi kununua gari isiozidi miaka 10 kwasababu vitu vingi kwenye gari vinachoka baada ya miaka kumi.
Naomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
36,931
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
36,931 2,000
Naomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
Toyota Isis sina uzoefu nazo mkuu
 
MANI

MANI

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2010
Messages
7,084
Points
2,000
MANI

MANI

Platinum Member
Joined Feb 22, 2010
7,084 2,000
Naomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
Kama sikosei Gari zote kuanzia 2002 oil nzuri ni synthetic Haswa ya Total
 
kinusikwetu

kinusikwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
936
Points
1,000
kinusikwetu

kinusikwetu

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
936 1,000
1.mafuta inatumia vizuri sana
2.mafundi wapo wengi
3.spares zipo nyingi tu
4.gharama inategemea unanunua yenye hali gani, kodi tumia kikokoteo cha TRA.
Mkuu hi td5 ulaji wake wa mafuta unaweza kuwa Kama TDI 200 au 300? Naomba ushauri Kuna moja td5 imesimama vyema imeua injini je overhaul, crankshaft na mengineyo ktk injini vyaweza cost bei gani?
 
new generation

new generation

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
400
Points
250
new generation

new generation

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2012
400 250
Naomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
Tumia oil yoyote ya 5w-30 full synthetic
 
Forum statistics

Threads 1,336,583
Members 512,670
Posts 32,544,200
Top