Tunaomiliki Magari ya Mzungu Tukutane Hapa...

RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
36,931
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
36,931 2,000
Wale wamiliki na wanapoenda kumiliki magari ya Mzungu tukutane hapa Kwa ushauri na kubadilishana mawazo. Najua ni changamoto Sana kumiliki haya magari hapa Tz kuanzia mafundi,spare na uchumi vile vile. Nina uzoefu mkubwa sana kwenye haya magari. Niulize chochote kuhusu magari haya nitakujibu kwa uzoefu wangu. Karibuni tujadiliane. Jitahidi kununua gari isiozidi miaka 10 kwasababu vitu vingi kwenye gari vinachoka baada ya miaka kumi.
 
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
5,491
Points
2,000
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
5,491 2,000
Wale wamiliki na wanapoenda kumiliki magari ya Mzungu tukutane hapa Kwa ushauri na kubadilishana mawazo. Najua ni changamoto Sana kumiliki haya magari hapa Tz kuanzia mafundi,spare na uchumi vile vile. Nina uzoefu mkubwa sana kwenye haya magari. Nimetumia BMW,Mercedes,Audi, Volvo na sasa hivi natumia VW Golf Mk5 2.0FSi. Niulize chochote kuhusu magari haya nitakujibu kwa uzoefu wangu. Karibuni tujadiliane.
Nakujua wewe RRONDO ni mkali wa hizi mambo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
553
Points
500
T

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
553 500
Wale wamiliki na wanapoenda kumiliki magari ya Mzungu tukutane hapa Kwa ushauri na kubadilishana mawazo. Najua ni changamoto Sana kumiliki haya magari hapa Tz kuanzia mafundi,spare na uchumi vile vile. Nina uzoefu mkubwa sana kwenye haya magari. Nimetumia BMW,Mercedes,Audi, Volvo na sasa hivi natumia VW Golf Mk5 2.0FSi. Niulize chochote kuhusu magari haya nitakujibu kwa uzoefu wangu. Karibuni tujadiliane.
Una maoni gani juu ya BMW X3 kwa mazingira ya hapa kwetu, uzuri wake, changamoto zake?
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
36,931
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
36,931 2,000
Una maoni gani juu ya BMW X3 kwa mazingira ya hapa kwetu, uzuri wake, changamoto zake?
X3 2.5i au 2.5si sio mbaya kama huna hela ya mawazo kwenye wese,spare kama kawaida gari za Mzungu zipo juu. X3 roho ya paka na zipo mjini kitambo so sio issue sana kwenye ufundi.
 
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
14,477
Points
2,000
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
14,477 2,000
Baba Taibali anakusalimia......

Hivi LandRover, Range Rover 504 na 505 na Vogue.... haya asili yake ni wapi??? Japan au German??

Kuna mtu kaniambia nichague zawadi ya birthday mwaka huu.....

Am thinking.....🤔🤔🤔
 
T

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
553
Points
500
T

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
553 500
X3 2.5i au 2.5si sio mbaya kama huna hela ya mawazo kwenye wese,spare kama kawaida gari za Mzungu zipo juu. X3 roho ya paka na zipo mjini kitambo so sio issue sana kwenye ufundi.
Kwenye wese unamaanisha kwamba mtu ajipange au? Kwamba consumption si ya kitoto?
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
36,931
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
36,931 2,000
Kijana amemaliza chuo, amekomaa na forex akapata 20'000$.

Anataka gari ya Europe kwa masharti yafuatayo;

Iwe na speed ya kufa mtu nikimaanisha spedometer ianzie 300kph, iwe SUV, offroad iwe poa.

Utampa recomendation ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
$20,000 on the road? That's nearly tzs 50m. Anaweza kupata 2008-10 VW Touareg Tdi au V6 Petrol, Mercedes M class W164 2007-10 diesel or petrol au BMW X5 E70 2008-10 3.0si
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
36,931
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
36,931 2,000
Baba Taibali anakusalimia......

Hivi LandRover, Range Rover 504 na 505 na Vogue.... haya asili yake ni wapi??? Japan au German??

Kuna mtu kaniambia nichague zawadi ya birthday mwaka huu.....

Am thinking.....🤔🤔🤔
Land Rover(Range Rover, Discovery, Freelander, Evoque) Muingereza huyo.
 
Forum statistics

Threads 1,336,568
Members 512,648
Posts 32,543,691
Top