Wale wamiliki na wanapoenda kumiliki magari ya Mzungu tukutane hapa Kwa ushauri na kubadilishana mawazo. Najua ni changamoto Sana kumiliki haya magari hapa Tz kuanzia mafundi,spare na uchumi vile vile. Nina uzoefu mkubwa sana kwenye haya magari.
Niulize chochote kuhusu magari haya nitakujibu kwa uzoefu wangu. Karibuni tujadiliane. Jitahidi kununua gari isiozidi miaka 10 kwasababu vitu vingi kwenye gari vinachoka baada ya miaka kumi.
Hao wanaokwambia Jetta itakusumbua spares hawazijui hizo gari. Jetta ya 2006 ni sawa na VW Golf Mk5 au VW Touran au Audi A3 ambazo spares zake zipo Tz kibao na bei ni nzuri. BMW is more expensive to maintain than VW so go for Jetta.Mimi nimetokea kuipenda sana VW Jetta 2006 option nilizonazo ni kati ya 2005-2006 BMW 320i ila jamaa zangu wananiambia Jetta itanipa shida sana kwenye spare, ninachoipendea Jetta ni urahisi wa kuipimp ina pimpika vizuri sana..
Ahsante kwa kutumia gari zetu, karibu na endelea kuyafurahia maishaMimi gari yangu sio ya mzungu ni Mjep ila toka nimebadilisha fan belt inapiga kelele kweli lakni baadae inatulia
Sijui natatuaje hili tatizo nimebadilisha fan belt mara kwa mara lakni ola
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na hela ya mawazo tu. 3200cc usitegemee itumie mafuta kama Passo. Kifupi kumiliki hii gari usiwe na hela ya mawazo.Volkswagen Touareg nazikubali sana, changamoto za kumiliki gari hii ni zipi? ya 3100cc consumption yake ya mafuta ikoje?
OK nashukuru sana kwa ushauri mzuriPropeller shaft na air mass sensor na ni sababu ya umri. Wengi wananunua yaliyozidi miaka 10.
Aisee hii promo inabidi ulipie na kodi kabsa traKaka Nina Mercedes Benz E class inasumbua Sana, nahisi Kama inanyonya betri tatizo litakuwa ni nini?
Vipi kuhusu hummer 3 spare Zake nahitaji Kununua this year
Sent using Jamii Forums mobile app
Honda spares zipo. Honda gari ngumu sanamkuu kwema vp kuhusu honda accord 2000 uk version, upatikanaji wake wa spear , fuel consuption na magonjwa yake unaweza nisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Honda spares zipo. Honda gari ngumu sana
Toyota Isis sina uzoefu nazo mkuuNaomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
Kama sikosei Gari zote kuanzia 2002 oil nzuri ni synthetic Haswa ya TotalNaomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
Ningemshauri 5w 30.....Total au Castrol..Kama sikosei Gari zote kuanzia 2002 oil nzuri ni synthetic Haswa ya Total