Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

Kati ya V polo 1.4 & V golf gti ipi itanifaa kwa town trip ?
Wale wamiliki na wanapoenda kumiliki magari ya Mzungu tukutane hapa Kwa ushauri na kubadilishana mawazo. Najua ni changamoto Sana kumiliki haya magari hapa Tz kuanzia mafundi,spare na uchumi vile vile. Nina uzoefu mkubwa sana kwenye haya magari. Nimetumia BMW,Mercedes,Audi, Volvo na sasa hivi natumia VW Golf Mk5 2.0FSi. Niulize chochote kuhusu magari haya nitakujibu kwa uzoefu wangu. Karibuni tujadiliane. Jitahidi kununua gari isiozidi miaka 10 kwasababu vitu vingi kwenye gari vinachoka baada ya miaka kumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niambie matumizi ya gia "M" yenye rangi nyekundu na hiyo + na - inamaanisha nini na kuna alama - kwenye N pia
20190228_180318.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niambie matumizi ya gia "M" yenye rangi nyekundu na hiyo + na - inamaanisha nini na kuna alama - kwenye N piaView attachment 1034491

Sent using Jamii Forums mobile app
M-Manual
+ Gear shift up
- Gear shift down
Yaani umiweka kirungu kwenye M hapo ukikishusha chini unaweka gear 1,2,3...manually na ukikipandisha juu - unapangua gear 5,4,3,2,1 manually
 
M-Manual
+ Gear shift up
- Gear shift down
Yaani umiweka kirungu kwenye M hapo ukikishusha chini unaweka gear 1,2,3...manually na ukikipandisha juu - unapangua gear 5,4,3,2,1 manually
Ukiweka kwenye + zinaanza kujipandisha zenyewe kadiri unavokanyaga mafuta au? Coz sijajua zinapandaje nakat we unakua umeweka + tu

Na je D iko pembeni kushoto au ipo pale kirungu kinapogonga kulia mwisho ilipo herufi D?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweka kwenye + zinaanza kujipandisha zenyewe kadiri unavokanyaga mafuta au? Coz sijajua zinapandaje nakat we unakua umeweka + tu

Na je D iko pembeni kushoto au ipo pale kirungu kinapogonga kulia mwisho ilipo herufi D?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa kufanya kama unakigonga kirungu kuelekea chini(+) zinapanda. Ukigonga kuelekea juu(-) zinashuka. Unikigonga gear unabadilika then kinarudi position yake. D ni kushoto, ukiisukuma kulia kabisa ndio Manual hapo sasa unakigonga up and down kubadilisha gear manually
 
Vp kuhusu BMW Series 1 "116i, 118i, 120i"
Gharama za spare ipoje?
Mafundi wapo?
Service ya kawaida inaweza gharimu shilingi ngapi (oil, filters, etc?
Barabarani vp inatulia? Hasa kwa safari za mbali?
Je ni matatizo gani common kwa hzo gari? Vitu gani vinasumbua hasa kwa hzo gari?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka kwema, naomba unijuze kuhusu landrover discovery 2 2.5 td5 juu ya
1. Ulaji wa mafuta
2. Upatikanaji wa mafundi
4. Upatikanaji wa spea
5. Na gharama mpaka mkononi kutokea uingereza

Natanguliza shukrani kaka
 
Kaka Nina Mercedes Benz E class inasumbua Sana, nahisi Kama inanyonya betri tatizo litakuwa ni nini?

Vipi kuhusu hummer 3 spare Zake nahitaji Kununua this year

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama umefanya marekebisho kwenye system ya muziki, tafuta fundi mtaalam acheck tena wiring. Next time usiruhusu mafundi uchwara waguse gari la Ulaya
 
Back
Top Bottom