Tunaomba updates za Nape toka SAUT

Tunaomba updates za Nape toka SAUT

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,252
Reaction score
98,257
Sana jamvi wote tupo makini kujua nini kinaendelea kutoka pale SAUT Mwanza kujua nini Nape anazungumza na wanafunzi pia witikio Wa hao wanafunzi,Kama hawajajitokeza wengi ni bora Nape arudishe gharama za kununulia hao mbuzi na ngombe kwani ni fedha za ruzuku ya chama chetu
 
Hakika Nape anaeachezesha kwata CDM ni balaaa,maana hapa nipo Morogoro kuna mikutano mingine lakini macho na masikio ya maCDM yapo Saut anakonyolewa mtu leo bila maji wala sabuni....
 
Hahahahahhahahhaha kila unachopanda ndicho utakachovuna
 
Hahahahahhahahhaha kila unachopanda ndicho utakachovuna

Nape ndie mdudu gani ktk siasa za Tz?Aaaa,ni yule jamaa anayeongea Kama amekula ndumu!
 
---- mtu kanambia SAUT wamewakataza kufanya siasa ndani ya chuo, Wapo shule ya Msingi NYAMALANGO karibu na chuo cha SAUT NYEGEZI-MALIMBE.
 
Hakika Nape anaeachezesha kwata CDM ni balaaa,maana hapa nipo Morogoro kuna mikutano mingine lakini macho na masikio ya maCDM yapo Saut anakonyolewa mtu leo bila maji wala sabuni....
CCM ni chama cha kilaghai! By the way, yale maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi? Au ndo mwendelezo wa ulaghai?
 
Kwa wana CCM wanaopenda sifa ujue maji yamezidi unga ndo maana wako bariidi kama........
 
Nape ni yupi?yule aliyezaliwa kwenye mkesha wa mwenge pale singida miaka ile ya 70?nakumbuka dereva wa mzee alikuwa anaitwa mganga mtu wa tanga ikaja michepuko mitatu mmoja wa mzee,wa mganga na watatu nikalamba mimi.kumbe ningechukua ule white nape angekuwa mwanangu?lakini yule mzee walikufa kipindi kimoja na dereva wake na ugonjwa unaofanana.
 
Saut wamemtimua nape katoka mbio kama amajinyea vile
 
Hakika Nape anaeachezesha kwata CDM ni balaaa,maana hapa nipo Morogoro kuna mikutano mingine lakini macho na masikio ya maCDM yapo Saut anakonyolewa mtu leo bila maji wala sabuni....
Kuna uzi ulitangaza kuwa aliekua Mwenyekiti wa SAUT CDM atarudisha kadi na kuchukua kadi ya ccm, vipi hata picha hakuna mkuu tuone CDM inavyokufa.
 
Wananchi kataeni ulaghai wa maccm kuanzia mwaka huu,shaur yenu
 
Back
Top Bottom