Tunaomba update za interview TRA

Methods 2
Transaction method,transaction of similar goods,transaction of identical goods,

Unamaanisha hizi
Transaction method
Transaction of identical goods
Transaction of similar goods
Deductive method
Fall back method
Nb nimegoogle tu
yes hizi hizi nadhani ukisoma kwa undani kuna inayotumika
 
Msijichanganye. Inshort customs officer II maswali yalikuwa hivi.
1: Methods of valuation of imported goods.
-Transaction value of imported goids
-Transactiin value of identical goods
-Transaction value of similar goods
-Deductive methods
-Computed methods
-Fall back metho
NB: These methods are arranged chronologically and there are 6 methods as mentioned above. Refer the public finance book kipengele cha kwanza tu unaposoma topic ya custom.

2: Documents used in clearing and forwading for impoted goods. Majibu mnayo.

3: Swali hili lilihitaji duties za custom officer II
Majibu mnayo.

4: Contents za inspection report. Majibu yametwaja na wachangiaji hapo juu.
 
Jaman na maswali ya clearing and forwarding yanakuwaje kwa wale walioapply kazi za TASAC
 
Mke wangu nilimuambia asome tuu Job Description Kisha aone Kama Kuna kitu anakiweza ndo aende Dar. Nikapitia vitu alivyokuwa anasoma nikaona bila bila. Nikamnyima asiende Dar akalazimisha. Ngoja nione matokeo.
 
Kuwa n imani atatoboa
 
Mke wangu nilimuambia asome tuu Job Description Kisha aone Kama Kuna kitu anakiweza ndo aende Dar. Nikapitia vitu alivyokuwa anasoma nikaona bila bila. Nikamnyima asiende Dar akalazimisha. Ngoja nione matokeo.
hahaaa ulitaka kumzibia rizki wife
 
Na nahisi mshahara wa tra ni 50,000,000/- kwa mwezi maana sio kwa uwingi huo
 
Hakuna swali ambalo point zake zinazidi 6 hapo au 7 hapo.. ukizidisha utakuwa umedanganya..
 
Kwa namna ulvyojibu usingepata 100, kulingana na hitaji la maswali hapo juu hasa la multinational
 
hilo swali la 3 la kudetermine value of imported goods sio kua anataka utaje customs valuation methods on import na zipo methods kama 6,refer kwenye kitabu cha public finance and taxation sehem ya mambo ya customs
Uko sahihi.. mdogo wangu alikuja kunaiambia namna ya ku value goods..
Nikamwambie ziko 6 ambazo ni Transaction value n.k nk.
 
Jaman na maswali ya clearing and forwarding yanakuwaje kwa wale walioapply kazi za TASAC
Nilifanya interview moja ya TASAC. Maswali yanatoka zaidi upande wa Logistic, Research, forwarding and clearing. Soma sana humo, lazima utapata cha kujibu. Inshu ilikuja mi ni statistician, nikajikuta najua maswali nusu na nusu siyajui.
 
Hongera kwa interview mkuu bila shaka ilikuongezea uzoefu.

vipi ilikuwa na vacancy gani hio waliokuita?

unakumbuka baadhi ya maswali ya clearing and forwading?

kwa hio position mliitwa wangapi na position ilihitaji watu wangapi?
 
Uko sahihi.. mdogo wangu alikuja kunaiambia namna ya ku value goods..
Nikamwambie ziko 6 ambazo ni Transaction value n.k nk.

Wabongo bwana kwa kufarijiana swali linauliza how to value a good hawajasema method used in valuing good. Sasa kwa taarifa yenu valuation of any good depends on following
1. Value of the Good
2. Production costs
3. Necessity or usable advantage to its customers
4. Packaging and it’s branding
5. Costs of transportation n.k n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…