respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,557
- 3,835
Kwanini asiwe na hadhi kwani yeye sio Mtanzania hii inatoa taswira kuwa kumbe yeye ni mbaguziRespect wa boda huna hadhi ya kufanya mdahalo na Lowasa
Nilitegemea ukaitisha mdahalo wa wagombea wote!
Naunga MKono hoja lakini ina walakini kidogo, hapa naona kila mtu ameona mgombea urais amekua lowassa....!! kwa kweli katika chama chake kuna watia nia zaidi ya 10...mbona mchakato uko kwa level ya chama
kwa sasa ambao kimsingi nadhan wanachama wa chama husika kwa sasa wana kazi ya kuchuja mgombea na kumleta kwa watanzania....hapo sasa tuombe mdahalo atakae teuliwa na ccm, au UKAWA au chama kingine....midahalo iwe huko kichama kwa wakati huu....!! hapa naona tunavurugwa....sana naona ktk ccm kuna watia nia zaid ya 10 tunaitaji atakae tia nia na kukubaliwa na chama chake......!!
Respect wa boda huna hadhi ya kufanya mdahalo na Lowasa
Respect wa boda huna hadhi ya kufanya mdahalo na Lowasa
Yaani mtukufu Rais mtarajiwa wa Tanzania aje kufanya mdahalo na misukule ya Bavicha kama mtoa hii mada?
Tumsubiri Lowasa tarehe 30.05.2015 aweke ukweli kuhusu Richmond halafu Dr. Mwakyembe naye awake wazi yale aliyoyaacha ili kulinda heshima ya Lowasa hapo ndio mbichi na mbivu zitajulikana. Na tutajua kwa nini baba wa taifa mwalimu JK Nyerere alimkataa LowasaPolitically, socially and legally, tayari Lowassa kashaupata URAIS kwa scandal ya Richmond...sbb hakuchukua chochote...acha kuwa kipofu wa ubongo..heri uwe kipofu wa macho kuliko ubongo...utabeba boga upstairs..!!!