Kwaresma inakusaidia kuishi bila ya kitu kinachokutenganisha na Mungu wako.Kufunga kwa mtu anayemfuata Kristo ni kila siku haijarishi nikwaresma au sio kwaresma kiukweli ni kwamba
Ukiona unaishi maisha matakatifu kipindi cha kwaresma tu wewe sio mkristo we ni mpagani tu kama wapagani wengine
Hatuwezi mkristo kufanana na upande wa pili ambao wanaacha kula nguruwe kipindi cha mfungo tu
Ukiacha kuishi maisha matakatifu kisa sio kwaresma we ni MPAGANI SIO MKRISTO
Yanaumiza tumbo hayo.Wali na maharage ya nazi
Shukrani dada wa imani japo kwaresma kufunga zote sio mchezo maana hata mimi sijawahi kufanikishaKufunga kesho J5 ya majivu ni compulsory kwa Wakatoliki wote.
Ligi ???ili iweje ??? Nipate nini kwenye iyo ligi???
Ni kweli kabisa mkuu Nipo pamoja na weweKwaresma inakusaidia kuishi bila ya kitu kinachokutenganisha na Mungu wako.
Ukikifunga na kuishi kwa nadhiri ya kuokolewa nacho hata baada ya siku takriban 50. Bhasi itakuwa umeshinda pakubwa
Usisahau kwaresma ina vitu vitatu vikubwa
1. Sala
2. Sadaka
3. Matendo mema
Hivyo usiihukumu kwaresma kwa matendo ya waumini wake bali dhumuni la uwepo wake
Kwaresma njema mkuu
Nashukuru asante nawe pia.Pamoja sana mkuu! Utakuwa muda mwafaka sana ukimaliza hiyo saa 10 unaunga moja kwa moja kwenda kanisani. Inaonesha ni jinsi gani ulivyo Mkatoliki halisi, ubarikiwe sana na uwe na mfungo mwema!
Duh...umenigusa sana....ila mwombe munguNatamani ningeweza kufunga ila kichwa kimezongwa na mengi
Sina furaha wala amani
Moyo umekufa ganzi
Naamini Mungu ataniinua niweze kufunga hata siku chache
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaresma ni kipindi cha kutafakari zaidi juu ya maisha yetu na uhusiano wetu na Mungu. Tujitahid tufanye toba na tuwe watu wa sala ili tuwe chumvi kwa wenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app
... unachoongea ni kinyume kabisa na mnavyotenda! Unafiki ni hatari sana!...
Duniani tunapita tu hapahitaji mbwembwe.
Mungu awabariki sana!
We jamaa bhnKawe Alumni,
Mkuu naomba nikutukane mara ya mwisho kabla ya mfungo, pumbavu mlamba makalio ya magu wewe!
NakaziaKufunga kwa mtu anayemfuata Kristo ni kila siku haijarishi nikwaresma au sio kwaresma kiukweli ni kwamba
Ukiona unaishi maisha matakatifu kipindi cha kwaresma tu wewe sio mkristo we ni mpagani tu kama wapagani wengine
Hatuwezi mkristo kufanana na upande wa pili ambao wanaacha kula nguruwe kipindi cha mfungo tu
Ukiacha kuishi maisha matakatifu kisa sio kwaresma we ni MPAGANI SIO MKRISTO
Wasiliana nae tu mkuu, kama mlikuwa mnafanya uzinzi kabla ya kwaresma mka-pause kipindi cha kwaresma kisha kuendelea baada ya hapo hakuna kitu mmefanya. Kama hamtendi dhambi yoyote kwaresma pia haiwazuii kuwasilianaKipindi hichi cha mfungo kwaresma ukiwa kwenye ibada hii ya mfungo je unaruhusiwa kuwasilana na mpenzi wako? Mimi ni muislam lakini nina mpenzi kesho anategemea kufunga nataka nifahamu mipaka yangu kwake yeye kwa kipindi hichi chote akiwa kwenye mfungo
Amina..ila kukushirikisha wewe nia yangu ya Kwaresima..ni pagumu hapo...Kwaresma ni kipindi kitakatifu cha kukumbuka mateso ya bwana Yesu, wakristo tunakumbushwa kumrudia Mungu huku tukitafakari kwa kina maisha yetu katika imani. Wenzetu wana mwezi wa Ramadhani sisi tuna Kwaresma.
Tuliopanga kufunga tuwe tunapeana updates na kutiana moyo. Haijalishia utafanikiwa kufunga siku ngapi.
Pia tuambie kitu gani hutafanya kabisa mwezi huu, binafsi napanga nisiguse hata chupa moja ya ulabu au pombe ya aina yoyote.
Kristu alifunga siku arobaini na huo ndio mfano wa kwanza thabiti ambao umefuatwa. Hakuna aliyekaa kwa firkra zake binafsi akaitungaNi kweli kabisa mkuu Nipo pamoja na wewe
Ila ukaribu na MUNGU ninao hata pasipo kwaresma
Na sina uhakika kama kwaresma liliagizwa na YESU na sijaona mahali wanafunzi wa YESU wakilifanya naona ni Watu wa dini walikaa wakalitunga
Uhakika wa maisha MUNGU amenipa ninao kwa kuwa kufunga kwangu ni Mara kwa Mara sitegemei tarehe flani ili eti nifunge hapana na maisha matakatifu hayategemei siku flani Bali ni kila siku