masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,571
- 20,149
Matreina watafaidi kuona mtikisiko wa booty 🤣🤣🤣Mimi sipendi mazoezi ila nimefikia Ile steji ya no way out. Chakula kama chakula kufanya diet au kula michemsho siwezi wenzangu.
Maana kunywa sinywi, club sipendi, starehe yangu ni masotojo tu. Sasa mwili unapoelekea Kwa kweli sio pazuri.
Hii ni wiki ya tatu mfululizo ila napiga ya nyumbani mbio kuzunguka uwanja.
Sit-up sijui ya kukata tumbo. Binafsi naona mwili umeanza kuwa mwepesi.
Naomba kwa wanaofanya mazoezi tupeane ABC please. Vyakula vya kula. Mazoezi ya kufanya na pia tutiane moyo. Binafsi nataka niwe na mwili kama wa Gabu union au tiwa savage nikifikisha 40 bila surgery maana najiona kabisa siwezi kuoitolerate hiyo surgery.
Najilainisha kwanza kabla sijaanza kwenda gym wasije wakanitoa roho bure ma treinaaaa😂😂
Sio kweli bwana wee sema unataka kuona wezere ndani ya vile vicondomUnapatikana wapi nikupe kampani?
Mazoezi bila ya nidhamu na kuwa na mtu wa kukupush ni KAZI bure.
Hapana sili sanaa ila siwezi kufast na kula michemsho nilichoongeza kwenye diet ni natunda mengi na mchicha mwingi na upiga nazi kama yote....so wangapi nimepunguza...napiga nduzi zangu hata mbili au tatu kwa siku au baada ya mazoez au kipindi Cha mlo...alafu mboga kiwango Cha fungu moja napiga nusu...Walahi hutoboi.Yaani nidham ya kula ndio Kila kitu,mtu ulikuwa una kunywa uji kikombe kimoja ila ukipiga tizi utapiga vinne na Bado unataka upungue,Kwa kweli huo muujiza haupo.
Labda kutia udambwi udambwi..Chakula ndo password
Thanks honeyLose Weight App for Women - Apps on Google Play
Lose weight and Burn Belly Fat with at-home fitness app's workouts for women.play.google.com
Yaani sijapata kampani Kwa kweli najipush hivyo hivyo mwenyewe ...Unapatikana wapi nikupe kampani?
Mazoezi bila ya nidhamu na kuwa na mtu wa kukupush ni KAZI bure.
Anza kufanya chumbani...nunua raba ...Kila saa kumbinna mbili kwenye saa moja tumia dakika 45 au 30 Anza mbio ukishaingia kwenye eqlibrium uwezo lala bila kufanya...Nisaidieni mwenzenu Nina uvivu ila napenda maziez
Hahahahahaha matreinaaaa wanafaidi sana...Matreina watafaidi kuona mtikisiko wa booty 🤣🤣🤣
Piga zoezi kisukari sio poa
Nimeanza pungua....Unachokifanya siyo mazoez ni kutafuta njaa ili ule unenepe zaidi, Bora uache.
Asante.