Kutokana na kichwa cha habari hapo juu ni kua hapa katika maeneo ya mijini kuna hawa mafundi saa wamekuja kugeukia ufundi wa simu na papo hapo nimeona tangazo kwenye banda la fundi saa likisema - TUNANUNUA SIMU MBOVU! chakunishangaza ni kua mimi ninasimu kama 3 hivi za siku nyingi na ni mbovu, basi nikampelekea huyu bwana fundi saa nikamwambia nimeleta simu mbovu si mnanunua kama mlivyojieleza hapa? basi jamaa akazipokea akaniambia ndio wananunua simu mbovu na nimuachie halafu nimrudie baadae, mimi nikajua nakuja kuchukua michuzi japokua kitu chenyewe ni kibovu potelea mbali anipe hela yoyote, niliporudi huyu fundi akaniambia hawezi kununua nikamuuliza kwanini? akanijibu eti simu zenyewe hazifai kwakua ni mbovu mno!!! Jamani naomba kuwasilisha hii hoja kitu kibovu ni kipi?
İla nawewe ulishajua simu zako mbovu kwahiyo ulitaka upate hela kwa viti vibovu,kwanza mpaka unatunza masimu ma 3 mabovu nyumbani kwako kwanini?unajaza taka tu bwana wenzio tunatupa tu,hiyo uliyopata ndıo halali kwa mtu kama weweKutokana na kichwa cha habari hapo juu ni kua hapa katika maeneo ya mijini kuna hawa mafundi saa wamekuja kugeukia ufundi wa simu na papo hapo nimeona tangazo kwenye banda la fundi saa likisema - TUNANUNUA SIMU MBOVU! chakunishangaza ni kua mimi ninasimu kama 3 hivi za siku nyingi na ni mbovu, basi nikampelekea huyu bwana fundi saa nikamwambia nimeleta simu mbovu si mnanunua kama mlivyojieleza hapa? basi jamaa akazipokea akaniambia ndio wananunua simu mbovu na nimuachie halafu nimrudie baadae, mimi nikajua nakuja kuchukua michuzi japokua kitu chenyewe ni kibovu potelea mbali anipe hela yoyote, niliporudi huyu fundi akaniambia hawezi kununua nikamuuliza kwanini? akanijibu eti simu zenyewe hazifai kwakua ni mbovu mno!!! Jamani naomba kuwasilisha hii hoja kitu kibovu ni kipi?
Kwani mkuu kosa langu nini? kwakua jamaa wameandika kua wananunua si ndio maana nikawapelekea!İla nawewe ulishajua simu zako mbovu kwahiyo ulitaka upate hela kwa viti vibovu,kwanza mpaka unatunza masimu ma 3 mabovu nyumbani kwako kwanini?unajaza taka tu bwana wenzio tunatupa tu,hiyo uliyopata ndıo halali kwa mtu kama wewe
Kwani mkuu kosa langu nini? kwakua jamaa wameandika kua wananunua si ndio maana nikawapelekea!
Ni kweli! hata Bibi yangu anazile hela zenye matundu katikati nikimuulizaga ananiambia atakuja kuziuzaga siku moja na atapata hela nyingi tu!wapo watu wana kasumba ya kuhifadhi vitu kwa kufikiri vitawafaa siku za usoni.
hata mimi nina kapu kubwa huwa natunza tiketi za daladala, na koba kubwa la kuweka risiti zangu zote za vitu mbalimbali.
kila baada ya miaka 5 nachoma za daladala na kuacha zile za manunuzi ya vitu mbalimbali. haya nayo yamo.
Kweli mjini Shule!
Ni kweli! hata Bibi yangu anazile hela zenye matundu katikati nikimuulizaga ananiambia atakuja kuziuzaga siku moja na atapata hela nyingi tu!
hata wewe unaingizwa mkenge kweli mjini chooniKweli mjini Shule!
hata wewe unaingizwa mkenge kweli mjini chooni
Nimekuelewa sasa,(like bibi like mjukuuu)dunia imechafuka hii ndugu yangu usiamini amini tu.Ni kweli! hata Bibi yangu anazile hela zenye matundu katikati nikimuulizaga ananiambia atakuja kuziuzaga siku moja na atapata hela nyingi tu!
(like bibi like mjukuuu)mtajaza mno mataka na huyo bibi yako Usawa wenyewe huu!Ni kweli! hata Bibi yangu anazile hela zenye matundu katikati nikimuulizaga ananiambia atakuja kuziuzaga siku moja na atapata hela nyingi tu!