Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.Nimeangalia wale wanaopata hudumaza kisheria kwenye ofisi yake..wanmshukuru sana.Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MARC hawai inovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.

Makonda anafanya kazi kuliko hao wenye vyeti na ana msaada mkubwa. Wanachohitaji wananchi ni maendeleo.Cheti cha form 4 kwanza
Umenena kweli mkuu. [emoji111] [emoji111]Hakuna cha kujitahidi bali Kutekeleza majukumu yake,kama hawezi kazi ya Mkuu wa Mkoa aache.
-Lights Camera Action anapendaga Makiki kama msanii.
kwa akili hizi na za viongozi wenu mnaofikiria mtokeje kisiasa badala ya kutengeneza mifumo itakayoongeza access ya wananchi kwa kila huduma waitakayo lazima nchi ife masikini.Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.
Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.
Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
Makonda anafanya kazi kuliko hao wenye vyeti na ana msaada mkubwa. Wanachohitaji wananchi ni maendeleo.
Nani anamchukia?Uko sahihi...RC Makonda ni mbunifu....lakini anachukiwa kwa kuwa wanaona anafanikiwa...watanzania tulio wengi hupenda wenzetu waharibikiwe na halafu tujifanye tunasikitika au kumkejeli waziwazi
Suala la vyeti vyake limefika wapi?Makonda is the best!!!!Makonda huwezi linganisha na kiazi mbowe na mnyika kamwe
Anajitahidi kufanya wajibu kwa matangazo mengi akishindana na matangazo ya coca cola. Waafrika bana mtu akifanya kazi yake anasifiwa sana. Hivi huku shithole countries hakuna kitu kama wajibu???Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.
Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.
Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
Wew unajitambua kwa lipi na umemsaidia nani atakayejivunia uwepo wako sehemu yoyote ,,kwelii hii matatzo ya kutokuwa na uwezo wa kusaidia wala kufikiri ndio mnaongozwa na chuki,wivuHafai kabisa huyu Nyanda, nawashangaa wote mnaomsifia.
Nadhani mmekosa kazi za kufanya hasa nyie wa mikoani hamjitambui kabisa.
Akijibu nistue mzee 74Nani anamchukia?