GE2025 Tunakwenda na Samia 2530

GE2025 Tunakwenda na Samia 2530

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ezoo

Member
Joined
Aug 22, 2025
Posts
22
Reaction score
22
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan afanyiwa Dua na Watoto Yatima aliposhiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA), Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam leo August 24,2025.

#tunamjua #ssh #taifa #ccm
 
Useme pia mnakwenda na wahuni ambao wamemtanguliza mbele huyo mama wa watu, na wenyewe wamejificha kwa nyuma yake.

Kiufupi wahuni siyo watu wazuri hata kidogo. Yaani wanawagawia nyinyi wajinga baiskeli, halafu wenyewe wanachukua makaa ya mawe, gesi, almasi, mbuga za wanyama, bandari, nk.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan afanyiwa Dua na Watoto Yatima aliposhiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA), Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam leo August 24,2025.

#tunamjua #ssh #taifa #ccm
Hadi huruma
 
Watoto yatima hawaamui hatima ya nchi. Tunaamua wote kama taifa
 
Useme pia mnakwenda na wahuni ambao wamemtanguliza mbele huyo mama wa watu, na wenuewe wamejificha nyuma yake.

Kiufupi wahuni siyo watu wazuri hata kidogo. Yaani wanawagawia nyinyi wajinga baiskeli, halafu wenyewe wanachukua makaa ya mawe, gesi, almasi, mbuga za wanyama, bandari, nk.
Hujui dunia
 
Mhuni mamako maana hajakuambia ukweli kuhusu babako
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan afanyiwa Dua na Watoto Yatima aliposhiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA), Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam leo August 24,2025.

#tunamjua #ssh #taifa #ccm
Kama umeamua kwenda na mama tambua umeamua kwenda na tapeli, fisadi na dhaifu
 
Samia anashindana na nani kwenye huo mnaouita uchaguzi?
 
Back
Top Bottom