Tunakulaga

niliwahi kula hii kitu nikidhani ni nyama ya ulimi kumbe konokono ila ni tamu lakni siwezi rudia tena
 
niliwahi kula hii kitu nikidhani ni nyama ya ulimi kumbe konokono ila ni tamu lakni siwezi rudia tena
Kumbe Unapendaga nyama ya ulimi,
Kwa kuila tu au na matumizi mengine?
 
Kumbe Unapendaga nyama ya ulimi,
Kwa kuila tu au na matumizi mengine?
Napenda kwa kuila tu. Hivi ina matumizi mengine ? nifundishe nikaanzishe muda huu.[emoji12] [emoji12]
 
Niliwahi kula hayo madudu nikatutumka mwili mzima ikabidi nipelekwe hosptali kutibiwa!!
 
Kumbe Unapendaga nyama ya ulimi,
Kwa kuila tu au na matumizi mengine?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…