Tunakula saa ngapi?

Kitaiva kweli?
Ndiyo kitaiva kabisa ila sio sasa hivi. Kwani anapika kitu gani broo? Kama ni tembele; litaliwa baada ya robo saa tu. Kuwa mvumilivu kidogo. Kama ni makukuru (mahindi makavu yaliyochemshwa) italiwa baada ya masaa 3-4 uwe na uvumilivu mkubwa.
 
Daaah kitapakuliwa kweli maana nahisi kama kitamalizwa jikon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…