Tunakufungia Solar pamoja na vifaa/bidhaa zote za Solar na za Umeme

SNL SOLAR LTD

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
205
26
Karibu tukupatie huduma zootee za Solar pamoja na Backup za umeme.

Pia tunauza vifaa vyoote vya solar pamoja na Bidhaa zote za ndani kama TV, FRIDGE, HOME THEATRE, RICE COOKER, PLATES ZA MAJIKO etc

Ofisi yetu ipo Sinza kwa Remy.

Wasiliana nasi 0714373488/0762246488/0784232526

Tufollow Instagram @snlsolarltd
1492067047386.jpg
 
Hili tangazo limekosa maelekezo ya kutosha, ndio maana watu wanasoma na kulipita tu,
Ongezea basi maelezo kama vile bei, after sale services, aina ya vifaa, brand, ubora wa vifaa etc,
Mfano mi nikitaka CCTV camera yenye uwezo wa kuangalia hata gizani mnauzaje??
 
Tangazo zuri semaa wamelinyima details nyingi sanaaa ndio maana watu wanashindwa ku comment....weka details za kutosha and everything.....
 
Back
Top Bottom