Tunakosea

Daty

Senior Member
Jul 1, 2011
126
13
Katika jamii zetu za kiafrika hatutambulishi boy friend ila tunatambulisha mchumba
 
Ni ngumu kumtambulisha boyfriend kwana mnakuwa bado ktk wakati wa kufahamiana kwanza na mnaweza kushindwana wakati wowote na ukawa na mwingine mpaka utakapopata mtakaeendana na kwenda kwenye stage ya uchumba inayowapelekea kwenye maandalizi ya ndoa.
 
Back
Top Bottom