Tunakosea wapi au ndo default fomular ya mapenzi

pureman2

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
1,494
2,538
Leo Sina mengi ,ila ningependa tujadiri Jambo hili kwa kina na kushare uzoefu wetu.

Inakuaje katika maisha ya mapenzi kunakua na mmoja ambaye anamaanisha kabisa ila mwenzake anakuwepokuwepo tu.

Mmoja anajitoa ila mwingine hajali ,anaona kawaida tu na sometimes anakupotezea, kutwa yuko busy kutafuta nje wa kumkamilisha?

Mwingine analia na kuchoshwa na hisia hasi ila mwingine ndo Kama alilazimishwa kuingia kwenye mapenzi hayo, wala... he/she doesn't feel to be concerned

Ili limekaaje? Mbona Ni ngumu sana kukuta wapenzi wameshibana 50/50, the perfect match??

Hivi tunakosea wapi au ndo uhalisia wa mapenzi????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio uhalisia mzee.Perfecr combo zipo nyingi tu.
Sema vijana leo mnapuyanga sana ndio mana mnaangukia kwenye mazaga ya ajab ajab.Kazana kuomba Mungu wako
 
Back
Top Bottom