Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,398
- 4,023
Dawa ni kutokopa tuu.Siku ya kuja kukunyang'anya tia engine chumvi,mgawane hasara ya hio laki Mbili iliyobaki,nilengeshe nikakope coaster.Nimfungie spare za kichina na kutia engine chumvi,au nikalikopee,akiniset tunasetiana inakula kwake.Yaani uchukuliwe pesa kibwege bwege nawe ukubali.