Tunakopesha fedha kuanzia 50,000 mpaka milioni 2. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunakopesha fedha kuanzia 50,000 mpaka milioni 2.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by billykelly, Jul 13, 2012.

 1. b

  billykelly Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunakopesha pesa kuanzia 50,000 mpaka milioni 2. masharti lazima uwe na dhamana. ili kuweza kujua tunapatikana wapi na dhamana gani tunazochukua wasiliana nasi kwa namba 0716 632593 / 0718 585858 na 0782 383838
   
 2. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,187
  Likes Received: 1,538
  Trophy Points: 280
  Weeeeeziii! jamani weziiiii...majirani weeeeziiii...wuuuuiii,jamani tumeingiliwa weeez,,AAH kumbe naota huku naandika kwenye keyboard
   
 3. b

  billykelly Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unataka kuamini tuwasiliane
   
 4. b

  billykelly Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jiheshimu bro!! kama unataka mkopo tuwasiliane kama hauhitaji kaa tu kimya:baby:
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Shindwa kwa jina la yesu
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nataka 2,000,000/= kwa miezi minne. dhamana ninazo -gari au nyumba -zipo Dar. Riba kiasi gani mkuu?????
   
 7. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nataka 2,000,000/= kwa miezi minne. dhamana ninazo -gari au nyumba -zipo Dar. Riba kiasi gani mkuu?????
   
 8. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  another deci......:flypig:
   
 9. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha kujigamba na maelezo yasio na vigezo na masharti. Awe na dhamana ya kitu gani? Pili awe na sifa zipi? Muda wa kurejesha ni lini tangu achukue mkopo? Riba yenu ni kiasi gani? Na mengine nitaendelea.....
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Nahitaji mil6 nina dhamana ya viwanja vi3 @dhamana ya mil2 viwanja hvyo evaluation yake ni kimoja mil16 kingine mil10 na kingine mil8,je interest ni sh ngapi?
   
 11. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ninyi ni Saccos, bank, financial au mmesajiliwa kama taasisi ya kukopesha? isije ikawa wanyewe 'mmeokota' mil 2 halafu mnataka kukopesha watu kwa njia ya wizi ya riba ya 30-50%, maana ulivyoandika haionyeshi kabisa kama ni watu serious.
  Weka wazi vigezo na mashariti ya mkopo, jina la kampuni na mahali ilipo, usajili, na vitu vingine muhimu which will attract your prospective customers. This money business, haiwezi kufanyika vichochoroni tu...!
   
 12. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  mbona husemi kwa Riba kiasi gani? Acha kuwa Mwizi ww
   
 13. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  umekuja hadharani. ...mwaga hadharani.....!
  mambo ya PM hayahitajiki
   
 14. b

  billykelly Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Riba ni asilimia 20% kwa yeyote anaehitaji zaidi ya milioni 2 anaweza kupata, tunapatikana mtaa wa jamhuri kwa mawasiliano tumia namba zetu hapo juu.
   
 15. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ....Mmerudi Kivingine Eh?
   
 16. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  kawaibie vijijini
   
 17. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  mbona hamueleweki? kuweni wawazi jamani,,tunahitaji hiyo kitu
   
 18. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,187
  Likes Received: 1,538
  Trophy Points: 280
  Achaneni na mikopo hii watanzania, mikopo isiyo na tija yaani hawa ni wale wakukomba mpaka stuli ukishindwa lipa wanadhalilisha hawa, watakuja mchana kweupe wataita watu wanakubebea mpaka vijiko vya ndani, unadhalilika....kwanza mtu ukope elfu 50 ya nini alafu riba 20% Dah, mimi ningeshauri msiangaike na mkopo kama hii inadhalilisha waulize akina mama kule succoss, waulize walimu wenzangu wa Grade A + Diploma kule vijijini walivyokimbia kazi kwa mikopo kama hii! Wee
   
 19. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,694
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  waepuke kama ukoma hawa watu
   
 20. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mimi niko Dodoma ntapataje huo mkopo na dhamana yake ni nini?
   
Loading...