Passo, Premio au IST?Gari ndogo bila dereva mnakodisha sh ngapi kwa siku?
PremioPasso, Premio au IST?
Range rover self deive kwa siku bei gani?Habari wana jamiiforum.
Tumesajiliwa kama kampuni ya kukodisha magari.
Tunakodisha magari aina zote makubwa kwa madogo kwa ajili ya Taasisi,harusi,msiba, na miradi mikubwa kwa midogo kwa bei nafuu sanaa karibuni sna.
Kwa mahitaji ya gari yoyote tafadhari
Contact nime attache profile ya kampuni kwa maelezo zaidi.
View attachment 2416453
Sawa mkuu,
Ist?80k boss per day
Hamtoi bila au kwaHii boss hatutoi bila self drive kwa gari hii boss wng
Mwenyewe sijamuelewa...au hataki vijana tukatese kitaa na range 🤣🤣🤣🤣Hamtoi bila au kwa
Vituko, ulipaswa uweke attachment ya bei/quotations zako na sio hiyo profile ya kampuni inatuchosha tuHabari wana jamiiforum.