Tunajifunza nini juu ya kesi ya Prof. Assad?

Ni ujuha kusema Magu anadhalilika.
Yani walio hai wanavunja katiba kweupe na mnakenua menotu kusifia.

Niupumbavu kushindana na mtu aliekufa alafu eti unafurahiya kwamba umemshinda, you must be crazy.
Katiba ilivunjwa na Magufuri na hao walio hai ni matunda na uzao wa Magu hivyo basi tusiwalaumu walio hai tumlaumu Magufuri mvunja sheria za nchi kwa manufaa ya ccm,kabila lake na Chato.
 
Nani msaliti Tanzania kuliko Magufuri na Sukuma gang?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…