Tunajifunza nini hapa Wadau?

Tunajifunza nini hapa Wadau?

Kalolo Junior

Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
81
Reaction score
27
[h=5]IMLA

Mwalimu katoa test ya imla, masharti ni kwamba usifute fute na kubadili majibu baada ya kujaza.

Swali la 1.
Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umeshalipiwa utapenda kula.
(1% mark)[/h]
  • [h=5]Wanaume walijaza majibu ni Wali, Ugali, na Mihogo.[/h]

  • [h=5]Wadada walijibu Burger,Egg Chop na pizza.

    Swali 2.
    Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu.
    (99% marks)

    Haaah haah haaah acha wadada wahangaike kufuta majibu ya mwanzo![/h]
 
Sio mahala pake hapa......,......!!!!
peleka kwenye jukwaa la JOKES+UDAKU!!!!
 
ungeweka kwenye jukwaa lile la vichekesho ingekuwa mzuka!! mi sijajifunza chochote!!!
 
tunajifunza kwamba wanaume hupenda vyakula vilivyopikwa na wake zao, na kwa wanawake kutafuta majibu ya mwanzo kuna maanisha kua wao ndio wapikaji wa vyakula hivyo vilivyotajwa na wanaume, ila hupenda mara moja moja kula vitu wasivyoweza kupika
 
mafunzo kwamba kufaulu kuna hitaji maarifa ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom