Tunaitangaza Tanzania kwa nguvu zote - Jionee mwenyewe

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Sasa tumeamuwa kuchukuwa jukumu wenyewe watanzania,pasi ya kusubiri wafadhiri, tunapeperusha bendera ya Tanzania kwa nguvu zote, kwani ipo siku wataelewa tu na kuondoa dhana ya kuwa watanzania tu hohehae, hatuwezi chochote.

Hapa ni ktk maonyesho ktk nchi za ASIA.

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • in-china.jpg
    in-china.jpg
    56.9 KB · Views: 931
  • DSC00954.jpg
    DSC00954.jpg
    70 KB · Views: 938
mkuu, salama?? kwa hiyo ile business imeshindikana au?? hujanijibu PM yangu mkuu wangu.......
mkuu
nilituma mzigo na nikaingiziwa pesa ktk acc yangu nikadhani kuwa niwewe ndio umeuziwa na nilimpa na namba zako za simu.kama hukupewa basi ianbidi nifanye mchakato mpya
 
Sikuuziwa mzigo mkuu wangu, nitafurahi sana kama ukifanya mchakato mpya nikapata huo mzigo kaka.......
 
Sasa tumeamuwa kuchukuwa jukumu wenyewe watanzania,pasi ya kusubiri wafadhiri, tunapeperusha bendera ya Tanzania kwa nguvu zote, kwani ipo siku wataelewa tu na kuondoa dhana ya kuwa watanzania tu hohehae, hatuwezi chochote.

Hapa ni ktk maonyesho ktk nchi za ASIA.

attachment.php

attachment.php

Nawapa bigup wote wanaojitoa kilawanapopata nafasi ya kuitangaza
nchi yetu.maana mtegemea chakupewa hufa maskini.tusisubiri wazungu
watuwezeshe ndipo tufanye.makofi kwake tafathari.
 
Sasa tumeamuwa kuchukuwa jukumu wenyewe watanzania,pasi ya kusubiri wafadhiri, tunapeperusha bendera ya Tanzania kwa nguvu zote, kwani ipo siku wataelewa tu na kuondoa dhana ya kuwa watanzania tu hohehae, hatuwezi chochote.

Hapa ni ktk maonyesho ktk nchi za ASIA.

attachment.php

attachment.php

Uko nchi gani hapo na mji upi?
 
Back
Top Bottom