ni mtumshi wa mungu aliye hai
Askofu KAKOBE ni mtu ambaye anaonekana kuwa na msimamo apa nchini na msimamo yake mingi imekuwa ikipingwa na watu wengi lakini mwisho wa siku ukweli unajulikana na wale waliomsikia wanafaidika wakati waliokaidi wanajuta
mfano wa misimamo ni
deci alisema kuwa ni kamari kutoka kusimu wengi walikataa lakini ukweli ukajulikana.
Kuhusu kikombe cha babu loliondo aksema akitoki kwa Mungu ni kumwabudu shetani lakini wengi awakusikia wakasema ni ofu ya kukimbiwa na washirika lakini ukweli ulijulikana wengi wamekufa nawengine kuwa hoi kuliko mwanzo.
Sasa kwa ayo machache tunaitaji mawazo ya mtumishi uyu kwaajili ya maendeleo ya TANZANIA
NAWASILISHA.
Yaeleze unayoyafahamu wewe utoe ushahidiya kweli hayo? Una uhakika na hayo unayosema?
We upo dunia gani hujaona mchango wa Askof Kakobe?au..kartotoise? ah wapi mtumishi wa MUNGU anajulikana kwa matendo yake.
Bado unapumbazwa na siasa za CCM? Badirika!Wapo wengi huko nigeria wafuate.
Acha umbea ,unataka jina la nini ?jitambulishe wewe!unaitwa nani vile?
Toa mchango wako ilimradi usiwe bias.mi sitii neno kuhusu kakobe.
Nimegundua tatizo lako ni Mahubiri ya Ukweli yanayotolewa na Askof Kakobe.Hata Pengo hamutambui Kakobe sembuse wewe?Wahubiri wote wa kada hii, kuaanzia babu wa Lolindo mpaka Kakobe hawana tofauti na Kakobe.
Kakobe au mwingine yeyote kama Kakobe akiwabalasa, amejibalas mwenyewe.
Wote wasanii tu, wanaosema yasiyo na uhakika wala mshiko. Kuna cousin wangu alikuwa anaangalia movies za cowboys vs. indians halafu anaona indians wanavyochukua kipigo. Akawaita Indian Chiefs "Ganga Ongo" - a bit unfair on the part of his more judgemental eye.
Kakobe kwangu mie anaonekana kama ana fight a turf battle na huyo babu wa Loliondo, with the difference being Kakobe ni babu wa Dar na "Babu wa Loliondo" ni wa Loliondo.
Other than that wote matapeli watupu.
sina imani na kakobetoa mchango wako ilimradi usiwe bias.