Tunaitaji wakuu wa mikoa 10 tu kama makonda nchi iwe na heshima

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Ntakuwa mnafiki bila kumpongeza huyu bwana Makonda

Wengi pamoja na UKAWA wanatarajia makubwa jiji la Dar na pale panapojulikana mmoja wao ama kikundi kiko nyuma kuturudisha nyuma mwaka huu kinaitwa jipu.

Jipu ukiliacha likatengeneza usaa hata ukikamuaa kama alijatoka damu hilo linakurudia na magufuli ameapa hatoliacha jipu limrudie kamwe.

Makonda umefanya yale ambayo hata baadhi ya mawaziri waliopita wameshtuka kwa kujiamini kwako.

Nimependa kabla ya kureact ulifanya uchunguzi wako ambao uko na docs kamili hata kesho akijitetea mtu anaulizwa umesaini sheria mbili mwezi mmoja malipo tofauti kama sio ujambazi ulizisaini za nini.

Ni wakati ambao watanzania tunapita wakati mgumu wakati ambaoo lazima serikali iliopo iamini nuru aiwezi kaa na giza lazima ijitenge.

Mh makonda hongera sana kama mtanzania wa jiji la dar nakutakia kila la kheri akuna aliemsafi aliekamilika lakini palr mmoja wao anapogeuka nyuma huwa jiwe la chumvi, tunaomba speed hii tutarajie haya.

Mikataba yoote ya jiji iangaliwe upya pamoja na ya magari machafu na yote waliosaini mh aliepta.

Tusimamishe ile mikatana ilioongezwa miezi sita mara ongezeko la miezi minne hii tuismamishe tutangaze tenda na washindi wawe wazi na bada yahapo maisha yaendelee.

Wale waliokuwa wakipokea alf nane pale ubungo stand nao wafwatiliwe waeleze kwanini manispaa walikuwa wanatoa elfu nne wanakusanya elfu nane

Pale Ubungo kuhusu mabasi kile kituo cha polisi ni jipu kubwa pengine umeongelea mabasi kuondoka kabla ya muda na kutoa rushwa.Ukweli asbh na mapema traffic na wale wazee wa makoti ya brown ufika pale, basi ikiwahi konda anashushwa anaenda kumwona mmoja wao ambae wamekaa kabisa na kiti chao wanachotoa atujui anarudi konda basi linaenda.


Hamisha wote leta vijana wapewe somo, upuuzi huoo haupo ajali mtazisahau, wengine wanakufa ajalini sababu ya kulala madreva

Natanguliza maombi ya kila meana wa Dar es salaam kumwombea makonda mkuu wa Dar es salaam atuondolee uchafu wote.
 
RC Makonda yuko vizuri tukipata ma RC 10 kama yy nchi itaendelea Sana na ufisadi utaisha.
 
mhe. Makonda ni mfano bora wa viongozi waliopata tokea hapa nchini Mungu ambariki sana alichokifanya leo ni cha manufaa kwa taifa hili..Mungu amlinde kaka yetu huyu..
 
Nadhani amekwisha elewa Falsafa ya anko Magu....wengine wa mikoani wabadilike sasa tukimbizane na mchaka mchaka huu.
 
Napata wasiwasi ile statistics ya NBS wale vijana wote wanashinda humu JF
 
Yukovizurii ...maombi yenu yakomengisana yanaitaji kubadilisha jiji wakishirikiana NA halmashaur za ukawa tutafanikiwa tu
 
Kwa wale wanaopenda kuangalia vyeti Makonda ni mfano hai elimu kama ya Chenge ya Harvard sio kigezo cha Ufanisi!
 
Kuna wanadamu wengine wanakuwa na roho ya korosho hawapendi kuwaona wenzao wakifanikiwa dunia.
Kama mtu anafanya vizuri kwanini tusimpongeze !?
Watu kazi kulaumu tu.
Vijana tunapaswa kuonyesha tunaweza kwa vitendo, hongera Mh mkuu wa mkoa.
 
Back
Top Bottom