Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,681 May 5, 2017 #1 kweli tunaisoma namba mvua zote hizi mwaka huu hata wale kumbi kumbi hakuna [HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
kweli tunaisoma namba mvua zote hizi mwaka huu hata wale kumbi kumbi hakuna [HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Dam55 JF-Expert Member Oct 8, 2015 5,641 11,956 May 5, 2017 #2 Mmh asee! Kwahiyo hata upotevu wa kumbi kumbi mkulu anahusika?!!
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,495 70,618 May 5, 2017 #3 Hata na kumbikumbi wanaisoma namba
Royal Warrior JF-Expert Member Nov 19, 2015 1,166 2,143 May 5, 2017 #4 bado tunawafanyia uhakiki kumbikumbi wenye vyeti feki, tukimaliza tutawaachia watoke.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,495 70,618 May 5, 2017 #5 Hata na kumbikumbi wanaisoma namba walizoea kujiachia sana kipindi cha nyuma
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 41,974 73,216 May 6, 2017 #7 Kumbikumbi walikuwa wa wapiga dili!