Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Ndio wale walitoka Kagera kwa mguu ili wakamuone mheshimiwa Rais ila sijajua baadaye ikawajeHiyo picha walikuwa wanafanya nini?
DahNdio wale walitoka Kagera kwa mguu ili wakamuone mheshimiwa Rais ila sijajua baadaye ikawaje
Waliishia rumande mkuuNdio wale walitoka Kagera kwa mguu ili wakamuone mheshimiwa Rais ila sijajua baadaye ikawaje
Rumande??wangewasikiliza japo kidogo labda walikuwa na neno zuri kwa ustawi wa taifa hiliWaliishia rumande mkuu
Police wetu huwa hawasikilizi mtu zaidi ya kuadhibuRumande??wangewasikiliza japo kidogo labda walikuwa na neno zuri kwa ustawi wa taifa hili