tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Picha hapo juu sio Nairobi, ni Cairo kama sikosei
kanukuu maneno ya bother kwamba capetown haijazuka kama uyoga ila kwa fikra yakinifu za watawala
dar ziii rooo
Sio viongozi wake tu, hata wananchi wake pia. Maana viongozi wote duniani hawawi madarakani kwa bahati mbaya, bali kwa uwezo unaoakisi akili na uwezo wa fikra wa wananchi wao. Kwa hiyo jinsi walivyo viongozi wa mataifa ndivyo na wananchi wao walivyo
Sio viongozi wake tu, hata wananchi wake pia. Maana viongozi wote duniani hawawi madarakani kwa bahati mbaya, bali kwa uwezo unaoakisi akili na uwezo wa fikra wa wananchi wao. Kwa hiyo jinsi walivyo viongozi wa mataifa ndivyo na wananchi wao walivyo
Picha hapo juu sio Nairobi, ni Cairo kama sikosei
mwenye audio naomba atuwekee maana kaongea booonge la point aiseeee
kama sikosei hapo ni antananarivo madagascar