Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Huu ni mwaka wa mwisho kabla hatujaingia ktk uchaguzi Mkuu 2015,Wasira ktk Moja ya hotuba zake alituaminisha watanzania kuwa LA IMA chadema itakufa kabla ya 2012 na haitakuwepo katka uchaguzi 2015.Sasa bado tunaiona cdm ipo na inaendelea kwa nguvu.Je Wasira alikuwa anatafuta umaarufu?