Tunahoji utabiri wa Wassira

Tunahoji utabiri wa Wassira

siku hizi kila mtu mtabiri,teh teh teh teh.....
 
Wewe huoni inavyoendelea kufa. Ndo kifo hicho, inapumulia Mashine (ICU). Muulize Mwenyekiti na Katibu watakujuza.

Inayopumulia mipira ni ccm ,kwani hadi leo bado wanapigana vikumbo wenyewe kwa wenyewe kugombea urais 2015.
 
Kisiasa wassira ni aina ya wadada kule nairobi hutwa gold diggers-wamama wanaotoa huduma za kimapenzi kwa malipo kinyume cha sheria.wewe ukisikiliza utabiri wa gold digger utakuwa pia na hitilafu za kiakili

Subiria vijana wa Lumumba waje na mapovu yao kwa hasira za kuwasema miungu yao.
 
images

Wassira? Stephen Wassira? Stephen Masato Wassira? Utani mwingine haufai jamani!
Labda alikuwa amelewa dawa wakati anatabiri!
 
Utabiri wa Wassira utatimia pale ambapo Maisha Bora kwa kila Mtanzania utakapotimilika. Subirini tu kidogo maana tukimaliza ziara za ughaibuni maisha sasa yatatiririka kama maji ya bomba. Subirini tu maana mambo yatatimia kwa kasi mpya, Ari mpya na Nguvu mpya. ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha....

Mbona chadema inakufa kifo cha kawaida, huoni hayo matamko ya Wajumbe wenu kila kukicha
 
Huu ni mwaka wa mwisho kabla hatujaingia ktk uchaguzi Mkuu 2015,Wasira ktk Moja ya hotuba zake alituaminisha watanzania kuwa LA IMA chadema itakufa kabla ya 2012 na haitakuwepo katka uchaguzi 2015.Sasa bado tunaiona cdm ipo na inaendelea kwa nguvu.Je Wasira alikuwa anatafuta umaarufu?

Chadema mbona haipo,ofisi zinafungwa kama utitiri kila kona, hapo chama kipo au makapi?
Jipangeni vijana.
 
Huu ni mwaka wa mwisho kabla hatujaingia ktk uchaguzi Mkuu 2015,Wasira ktk Moja ya hotuba zake alituaminisha watanzania kuwa LA IMA chadema itakufa kabla ya 2012 na haitakuwepo katka uchaguzi 2015.Sasa bado tunaiona cdm ipo na inaendelea kwa nguvu.Je Wasira alikuwa anatafuta umaarufu?

Iko wapi Chadema! au unamaanisha Ukawa?
 
Huu ni mwaka wa mwisho kabla hatujaingia ktk uchaguzi Mkuu 2015,Wasira ktk Moja ya hotuba zake alituaminisha watanzania kuwa LA IMA chadema itakufa kabla ya 2012 na haitakuwepo katka uchaguzi 2015.Sasa bado tunaiona cdm ipo na inaendelea kwa nguvu.Je Wasira alikuwa anatafuta umaarufu?
Wasira ni TAAHILA kwan hana uwezo wa KUFIKIRI KAMA BINADAMU WA KAWAIDA BALI KAMA JAMII YAKE YA SOKWE MTU.
HUNA HAJA YA KUSUMBUA AKILI YAKO KUREASON JUU YA MTU KAMA WASIRA.
 
Wewe huoni inavyoendelea kufa. Ndo kifo hicho, inapumulia Mashine (ICU). Muulize Mwenyekiti na Katibu watakujuza.

ama kweli wendawazimu wengi majalala machache
 
Alichokipanda ndani ya cdm kimegoma kuota pamoja na kutumia mamilioni kukiwekewea mbolea na maji.
 
Mbona chadema inakufa kifo cha kawaida, huoni hayo matamko ya Wajumbe wenu kila kukicha

Ingekuwa matamko ndio kufa kwa chama basi ccm tushaisahau hapa bongo.
 
Ni kuhusu kifo cha Chama kimoja cha siasa. Sasa hivi Chama hicho kipo hoi bin taaban kama sio kufa kabisa!

Poleni sana Washabiki wake, ndo hivyo ufisadi umekipenda zaidi!
 
Back
Top Bottom