johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ukiijua kweli itakuweka huru. Kweli ni X, Y au Z?Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Labda ungeanza kutuambia kiwango chako cha elimu kisha utuambie maana ya "academic qualification" katika soko la ajira.Hivi kwa nini wanapoguswa miungu wenu huwa mnatafuta kila fursa za kuhalalisha upuuzi wenu?
Kila position ya ajira/utumishi ina academic qualification zake,hata aliyefoji cheti cha Elimu anafahamu umuhimu wa Elimu,isipokuwa amekosa uwezo wa kiakili wa kumuwezesha kuifikia ngazi ya kielimu anayoitamani na ndiyo maana alikwapua cheti cha watu ili walau aonekane ana sifa.
Imeandikwa kuwa "utakula kwa jasho lako", kwa nini tunapohoji mtu anayetumia vyeti vya mtu mwingine kujipatia ridhiki/uongozi kwa njia haramu iwe nongwa?Sheria ichukue mkondo wake,kila mtu awe pale alipo kwa njia sahihi na si kwa mbeleko ya kufoji vyeti,kufunga watu viatu na kujipendekeza.
Acha kujitoa ufahamu,unawakumbuka maelfu ya vijana wa UDOM waliofukuzwa chuoni kwa kile tulichoambiwa hawakuwa na sifa stahiki?Kwa nini leo tuwaruhusu vihiyo kushika nyadhifa kwa vyeti vya kughushi.
the end justifies the means, huh?Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
hii inaletwa sasa? hapo nyuma uliongelea?Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Ulaghai na utapeli,hasa wa elimu,tutaupinga kwa nguvu zetu zote. Hatutamuonea haya tapeli yeyote wa elimu.
hili ulishauliza!! lete maswali mengine. mimi sio wa mbowe lakini swali moja kila siku?Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
kama ungekua unaelewa maana ya elimu usingesema Mr. Y hana maarifa na pengine pia hujui maana ya maarifa nini? mtu azaliwi na maarifa. Utashi unapo ongezewa elimu maana yake mtu huyo anakua na uwezo mkubwa zaidi kupata maarifa kuliko X na huyo mpuuzi Z anaedanganya. mfano ukimuajiri mr z kitakachotokea utamwamini anauwezo wa kupata maarifa kutimiza majukumu yake hivyo hutawaza kumfua kila mara kama ambavyo ungefanya kama ungemwajiri mtu amabae hana elimu kabisa... shida sana kufanyakazi na mtu mwenye cheti feki na aliye bweteka na kuona elimu isingemsaidia sana ktk kazi zake kwani anaziweza tu, ni tabu sana!Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!