Tunahitaji kazi ya Kufundisha Biolojia Na Chemia Shule za Binafsi

joseph mzuma

Member
Dec 31, 2015
58
50
Habari Wadau
Sisi ni walimu tarajali, tunategemea kuhitimu Chuo miezi mitatu ijayo
Tumebobea Kwenye masomo ya Chemia Na Bilojia toka UDOM tunaomba Kama kuna sehemu kuna uhitaji wa Walimu Wa aina hii Tupo tayari kufanya kazi popote mara tu baada Chuo hapo mwezi wa Saba mwaka huu....
Tunaomba mtandao wa mawasiliano mapema kwa yeyote mwenye taarifa na hili
 
Mhhh!!hizi elimu zetu za sasa ni shida,mwalimu unaandika Chemia hiki ni kitu gani?
Kama unaandika kiswahili hapo ilibidi iwe Kemia,na kama ni kiingereza basi ulipaswa kuandika Chemistry.
Na pia hakuna somo linaitwa Bilojia,tuna Baiolojia kwa kiswahili.
Kwa lugha ya kisayansi ni Biology!!!
Jaribu kujiweka smart mwalimu.
 
ASANTE sana nashukuru
 
ASANTE sana nashukuru
Hapa kama ni usaili umeshachemka mapaka hapo, na kwa vile umewawakilisha walimu wenzako,bila shaka wewe ndo jembe lao ina maana nyie wote mpaka hapo chaliii!!Subirieni tu ajira za serikali hapo mwakani mwezi wa saba kama ambavyo wenzenu waliohitimu mwaka jana mwezi wa saba hadi leo wanasugua nyumbani hadi july
 
Teh teh teh teh

teh teh teh teheeeee unautani na walimu wewe, muheshimu mwalimu kama vyeti unavyo........ mfano wa Mtoto kwa mama
 
Back
Top Bottom