Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
Daniel Yona na Basil Pesa Mbili Mramba wanasoma uzi huuKwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
Nani kakwambia kuwa rais mzuri ni yule anayefukuza watu kazi,Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
Wazazi wako ndiyo waliokufundisha matusi au wewe mwenyewe ndiyo umejifunza hasira na kisilani kamwe hakijengi wewe kama umevurugwa kimpango wako .Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
Simu yangu ndogo mkuu nitumie kubwa au ipd kabisa,Simiyu Yetu bwana...!! hivi huwa huwezi ukaweka mawazo yako yote kwenye post moja!?
Najaribu kupima na kulinganisha kama jukwaa hili watu wangekuwa wanatukana kama wewe tungekuwa wapi siku hizi.
Haya ni matatizo ya malezi kwa mtu mwenye malezi mema aliyeishi na wazazi vema huwezi kuandika matusi kama kichaa vile.
Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
Hatuhitaji raisi anayenyang'anya waume za watu. Hebu soma hii link Joyce Banda: From a husband snatcher to the President of Malawi | Face of Malawi. Hiki alichofanya ni danganya toto tu. Hafai kabisa huyu. Angekuwa na huruma na watu wake asingemtesa mke wa banda kwa kumchukulia mume wake. Ukisoma hiyo taarifa utaona kuna wakati alikuwa na wanaume wawili. Kweli tunahitaji raisi asiyekuwa na morals!!!! Hapana!!!
Wazazi wako ndiyo waliokufundisha matusi au wewe mwenyewe ndiyo umejifunza hasira na kisilani kamwe hakijengi wewe kama umevurugwa kimpango wako .
Umekaa ukafakali ukaona uanze kutukana tu we hewa kweli waliokuzaa wanahasala wangejuu wasingekuzaa.
Nani kakwambia kuwa rais mzuri ni yule anayefukuza watu kazi,
pengine nikupe ushauri mzuri ni wewe kwenda malawi kuomba uraia ili ukae karibu na banda tanzania siyo pako.
NDUGU YANGU usidanganyike na huyo raisi Joyce banda na hizo nguvu zake za soda. yeyey kafanya hayo sio kwa kuguswa na uhuni wa baraza lake la mawaziri ila kafanya hivyo kwa shinikizo la donors. tena kuna hella mamilion kwa tilion yamekamatwa yalioibiwa na hao mawaziri wake, ila yeye leo kupitia CCTV Africa kakataa katu katu kuwafikisha wahusika mahakamani, akidai kuwa hawawezi kumfungulia mashataka waziri kwa kusikia fununu tuu na uvumi.Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
Daniel Yona na Basil Pesa Mbili Mramba wanasoma uzi huu
Nani kakwambia kuwa rais mzuri ni yule anayefukuza watu kazi,
pengine nikupe ushauri mzuri ni wewe kwenda malawi kuomba uraia ili ukae karibu na banda tanzania siyo pako.
Wazazi wako ndiyo waliokufundisha matusi au wewe mwenyewe ndiyo umejifunza hasira na kisilani kamwe hakijengi wewe kama umevurugwa kimpango wako .
Umekaa ukafakali ukaona uanze kutukana tu we hewa kweli waliokuzaa wanahasala wangejuu wasingekuzaa.
Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
Hayo unayozungumzia wewe ni personal issues na personal issues ni choice ya mtu kama vile mtu kuchaguwa kuwa ms.enge ama msagaji. Uongozi bora haujali personal issue bali vitendo vya uchapa kazi na utawala bora. Katika personal choices Joyce Banda na Kikwete wanatofautiana nini, mbona kila mtu ana wapenzi wa pembeni tena naweza kusema bora ya Banda kuliko Kikwete mwenye nyumba ndogo lukuki ambazo kila Mtanzania anajuwa. Tanzania tunataka rais bora na mchapa kazi si huyu wa sasa wa Ze Comedy.