kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,669
- Thread starter
- #21
Vee Money nae anazidi Ku shine for sure...
Ndio pekee nnayeweza kumuwazia kuwa next Diamond, yuko siriaz aisee kutoa ngoma kali, video na kujibrand, mambo yake yamekaa kiinteneshnointeneshno. Mtu kama Barnaba anajua sana kuimba though simuoni kama anaweza kutoboa kimataifa, ingawa siwezi kuelezea kitaalam nini anamiss but najua anamiss vitu vingi tu. Ben Pol/ Jux ni ngumu pia kutusua kimataifa coz wanaimba RnB, wakitaka wafike mbali wachange kwenda kwenye maAfropop