Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 580
Najiuliza kama kuna watu wameanza kuwa kama mimi; vyama vyote vya kisiasa vilivyopo nchini haviwezi kutupatia kile tunachohitaji kama taifa. Siyo CCM, Chadema, CUF au TLP ambacho kilivyo sasa kinaweza kuwa tumaini la Watanzania. Je kuanzisha chama kingine ambacho kitatoka kwa wananchi na chenye ajenda ya mabadiliko ya kweli na kikiongozwa na watu wenye mwelekeo wa mabadiliko na wasiogopa political confrontation na ambacho hakitasita kufanya what is necessary to restore law and order and a constitutional rule kitaweza kuwa na nafasi.
Asili ya matatizo na suluhu yake imo ndani ya CCM. Vyama vyote, kama ulivyoeleza mwanzo vina matatizo lakini kimsingi, ukiyachunguza matatizo yanayokana na kutokuwepo kwa itikadi zinazoeleweka ambazo vyama hicyo vinazisimamia.Watanzania hawawezi kubadilika fikra kwani fikra walizonazo zinawafaa katika mazingira haya ya kifisadi.
Nimejaribu kuamsha mapambano ya kifikra lakini matokeo yake mgongano unaoendelea ni wa kibinafsi zaidi kuliko wa kifikra. Karibu wanasiasa wetu wote wana fikra zinazofanana!
kwanza nani atatokea kuwa Obama wetu!
Pasco, nadhani ni vibaya sana kuwa na mawazo kama haya, lengo lisiwe 2010, lengo liwe ni kuwakomboa watanzania kutokana na haya yanayowasibu hivi sasaChama kipya kama ni kwa 2010, its too little too late....
Najiuliza kama kuna watu wameanza kuwa kama mimi; vyama vyote vya kisiasa vilivyopo nchini haviwezi kutupatia kile tunachohitaji kama taifa. Siyo CCM, CHADEMA, CUF au TLP ambacho kilivyo sasa kinaweza kuwa tumaini la Watanzania. Je kuanzisha chama kingine ambacho kitatoka kwa wananchi na chenye ajenda ya mabadiliko ya kweli na kikiongozwa na watu wenye mwelekeo wa mabadiliko na wasiogopa political confrontation na ambacho hakitasita kufanya what is necessary to restore law and order and a constitutional rule kitaweza kuwa na nafasi.
Chama ambacho mrengo wake itakuwa ni kuhakikisha kuwa hakuna kuremberiana macho na mafisadi tena wala kuufafanua ufisadi bali kuushughulikia moja kwa moja.
Chama ambacho kitalenga kuleta mabadiliko ya kimfumo na kimuundo wa serikali yetu ndani ya miaka mitano ya kuingia madarakani kikibeba ajenda ya mabadiliko ya kweli (kikatiba, kisiasa, na kiutendaji) huku kikiwashughulikia kama simba mkali wale wote ambao wamelifikisha taifa letu hapa ikiwemo kutaifisha mali zao, kuwasweka jela na wale ambao ni vigogo wa ufisadi "kunyongwa" kama wanavyofanya huko China!
Chama ambacho hakitawabembeleza wawekezaji kama wakwe zetu!
Au ndiyo tubanane mumu kwa mumu huku tukiulizana "kajamba nani'!
Pasco, nadhani ni vibaya sana kuwa na mawazo kama haya, lengo lisiwe 2010, lengo liwe ni kuwakomboa watanzania kutokana na haya yanayowasibu hivi sasa
Tatizo ni vyama yaliyotokea uchaguzi wa CUF kwa Professor Saffari kukashifiwa au Chadema Zitto Kabwe kuzuiliwa nani anaweza kuviamini vyama hivi kienyeji tu?TLP uchaguzi wao walitaka kugombea wakavuliwa uanachama.
Kibanda alikuwa mkali kama Mbogo sababu kubwa ni mkate wa Tajiri yake kuhatarishwa.uchaguzi wa vijana umeahirishwa hadi miezi sita ijayo sababu Mgombea wa kaskazini alikosa nafasi.
nani Mwenye akili timamu anaweza kujiunga huko Chadema kwenye mazingira kama haya? Zitto ana miaka 16 ndani ya Chadema haaminiwi.jee Mkandara anaweza kuaminiwa?
Hivi karibuni imeletwa Taarifa kuwa Maaskofu wako nyuma ya DR.Slaa /Chadema ambaye alikuwa katibu mkuu wao kwa miongo kadhaa nani atajiunga kwenye chama ambacho hakina maaamuzi ya kikatiba zaidi ya vizee vinne tu?
Prof safari na zitto walijaribu, kilichowakuta tumekiona.Vyama ni vizuri tatizo hao watu, hebu tuwabadilishe kwa kutowachagua kwenye chaguzi zijazo jamani
mmmhhh Dr slaa tunamuhitaji bungeni, urais hawezi kumshinda JK, vijijini hawajui ufisadi ni nini, na hiyo ndo silaha kubwa ya Dr slaa mpaka sasa.Hii topic ni nzuri.
mjj amelenga pazuri.
kuunda chama kipya itatuchukua muda mrefu kutarua matatizo ya nchii hii. tuwasaidie hawa viongozi wa vyama vilivyopo katika uteuzi mzuri wa kiongozi wa kitaifa (Rais) ambaye ana sifa zote ambazo sisi wananchi tunazi afiki. na ana maadili mema ya kiungozi na hasa mkali kwa tukio lolote linalokwenda kinyume na matakwa ya wananchi (adhabu iwepo pale pale kwa mtuhumu huyu). naamini candidates hao wapo. support ni muhimu sana baada ya kupatikana mtu huyu. natuanze kumfikiri sasa. Mimi nitaanza na dr slaa sisna mrengo wowote wa kichama. kama kuna mtu wa kunikosoa na anikosoe sasa.